Hii makitu acha kabisa

Hii makitu acha kabisa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
370,847
Reaction score
858,697
1415210015208.jpg
 
Unapata na sugarcane juice acha kabisa masopakyindi

Mkubwa mbona hayo mambo ndio ulevi wangu? Napita pale round about michenzani kuna jamaa anawatengeneza vizuri ana pilipili yake sijui anaweka malimau? (Hii itabidi nimuulize farkhina) Pembeni kuna juice ya miwa ni hatari.
 
Last edited by a moderator:

Bonge la remedy asikudanganye mtu.....!!! SAMUNGE LA ukweli kabisaa huna hata haja kwenda loliondo
 
Last edited by a moderator:
mambo ya foro alafu unaweka na ile zanzibar pizza
 
kitu cha pweza na mchuzi wake.......balaaa.....
 
Tatizo lake ni kukausha pesa mfukoni, yaani inachoma stick unaweka mdomo, unedlea tu, unaendelea tu, ukimwuliza sh ngapi unaambiwa 2,000/= ilhali hata kushiba hujashiba !!
 
Tatizo lake ni kukausha pesa mfukoni, yaani inachoma stick unaweka mdomo, unedlea tu, unaendelea tu, ukimwuliza sh ngapi unaambiwa 2,000/= ilhali hata kushiba hujashiba !!

we denti?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom