Acha EGO, mtafute mwenzako

Acha EGO, mtafute mwenzako

VERIFY

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2024
Posts
1,059
Reaction score
2,427
Acha EGO jishushe kama unamwelewa mtu acha kujiuliza Mara mbilii takuaje nkimtafta au Atanionaje mm nkiwa wakwanza kumtext, break the EGO and check on her or him .

Mapenzi yamebeba pande mbili misery and joy, kuumia na kufarahia yote ni mapenzi pambania unachopenda .

HOLD ON TILL IT HURT, FIGHT TILL YOU BLEED DO WHATEVER IT TAKES FOR LOVE .... LET IT BREAK YOU BEFORE EGO DOES .

the real obsession is fighting for something until it KILL YOU. 😎
 
Sasa ni zamu ya wanawake kuwa wa kwanza kuwatafuata/kuwatongoza wanaume.

"Haiwezekani nimtongoze kwa mbinde,
Nimlishe, nimvishe, na pia nimlinde,
eti yeye aniheshimu halafu Mimi nimpende,
Kisha ananiambia mi ni mwanaume makende,
kisa kumfunga goli mbili kwa mbinde,
Si bora niangalie porn ilotengenezwa kwa akili unde,
Kisha ninyetuke nisije nikapata kaswende 🎶🎵.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom