PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,766
- 26,156
Lowassa yupo fit kichwani...na ndiyo kinachohitajika kwa hii dunia ya sasa ambayo ni digital world!
Mashine kama TINGATINGA always zipo very manual...
Watu wanahitaji mental fitness, huyo hajui hilo.
Kama suala ingekua misuli ya mwili kama anavyojaribu kuwaaminisha watu basi leo humo Marekani wangempa urais 'Komando John' au watu wa aina yake