Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,507
Nina uhakika 100% hawezi kujaribu. Na hana sababu ya kufanya hivyo kwa vike Magufuli kafanya. Wote wakiruka, wote wakipiga push up tofauti yao itakuwa wapi? Wakiigana hata kampeni zitakosa mvuto. Kila mmoja afanye anachoweza kufanya.
yeye tutamkumbuka kwa style ya kuwahi maliwato