Hii Magufuli sasa unapitiliza watu watakujudge vingine!

Hii Magufuli sasa unapitiliza watu watakujudge vingine!

Chezea viroba wewe next tyme ataibuka anaendesha trekta
 
Hawa jamaa kila kitu mnalalamika. Ha ha ha ha ha, sasa mnaanza kuudhi hadi wapiga kura wenu.
 
sina maana mbaya ila kwa hivi vituko sio kabisa...
kwani angepitia mlangoni apepungukiwa na nini?

usilete ubishani wa kisiasa maana mi siko upande wowote.

Kapumzike usubiri kumuona Rais wa awamu ya tano Dr.John Pombe Magufuli akiapishwa.
 
Kuna mtu alipanda dala dala na mkamsifu...kwani boda ina shida gani...nkurunzinza alienda kupiga kura anaride bcycle.....je intergrety ya rais ilipotea....mwanasiasa kipindi hichi huweza kufanya lolote kuwin peoples power

"Kuwin peoples power"!!!!
 
Ameshatambua Raia Wa Ccm Wanapenda Sanaa Za Maonyesho! Hatangazi Sera, Akienda Ikulu Si Anaenda Kumalizia Movie Ya Action! Ka Rambo! Wananchi Hatuhitaji Maonesho! Tunataka Mabadiliko! Hata FaizaFoxy Nadhani Anajua. Ccm Hawaendi Kusikiliza Wanaenda Kuangalia Atakuja Na Action Ipi Leo!
 
Last edited by a moderator:
eti integrity,who give a sheet about it.....kila mtu na style yake,wapo kina putini wanaendesha mpaka kiberenge,itakuwa magufuli?,,,
 
yap yuko imaar na mwenye nguvu, hahitaji tia maji tia maji ya kupelekwa mzobemzobe maliwatoni kila wakati. Kuna mgombea (jina kapuni) akijaribu hata kuruka ruka tu mambo lazima yaharibike na maliwato itamuhusu, Mgombea wa ukawa anahitaji kupumzishwa kwa kunyimwa kura tar 25 oct na ndicho wa tz tunachoenda kufanya siku hiyo
 
Ka pombe kanajifanya kanapendwa kawai kuwafikia wananchi ndo mana kansruka loh
 
Katika kitu ambacho utajikuta unafanya vitu tofauti ni sasa kipindi hiki cha uchaguzi! inaonesha uneanza kupagawa unahitaji msaada wa ushauri au daktari wa msongo!...Mgombea wa urais unapitia katika roof ya gari juu??This is too much this is a psychiatric case he need a psychologist to help him!
Madaktari msaidieni huyu mtu!

Hii inaonesha kuwa ana uwezo wa hata kuruka kutoka juu hadi chini linapokuja suala la kuhudumia wananchi.
 
Anawaonesha kuwa yuko fit.

Mwambieni Lowassa ajaribu hilo.

Nina uhakika 100% hawezi kujaribu. Na hana sababu ya kufanya hivyo kwa vike Magufuli kafanya. Wote wakiruka, wote wakipiga push up tofauti yao itakuwa wapi? Wakiigana hata kampeni zitakosa mvuto. Kila mmoja afanye anachoweza kufanya.
 
Back
Top Bottom