Hii Magufuli sasa unapitiliza watu watakujudge vingine!

Hii Magufuli sasa unapitiliza watu watakujudge vingine!

Katusoma wabongo tunaamini mtu anayefanya mambo yanayofanywa uswahilini ndio anafaa kuwa kiongozi hata kama hayaendani na hadhi ya kiti chake.

JPM atakuwa rais wa aina yake nategemea afanye vituko zaidi ya hivi inaonekana ndio alivyo
 
PROP.JPG
hata sitaki kusema neno
 
Katika kitu ambacho utajikuta unafanya vitu tofauti ni sasa kipindi hiki cha uchaguzi! inaonesha uneanza kupagawa unahitaji msaada wa ushauri au daktari wa msongo!...Mgombea wa urais unapitia katika roof ya gari juu??This is too much this is a psychiatric case he need a psychologist to help him!
Madaktari msaidieni huyu mtu!

yule lofa hawezi huu uninja! tulieni hivyohivyo asije akafanya yake ya chato bure
 
Mi nlidhani ungetoa ushauri kwa ukawa waanzishe kitengo maalum cha kumfanyia mazoezi mgombea wenu ambae yuko kwenye matatizo kede kede magufuli ni kiongozi muadilifu na mzalendo kwa wote ambae kwa lugha laini ni mpenda mazoezi na asiependa makuuu,,karibu tujumuike kwenye ushindi huu wa pamoja na magufuli
 
ni ujinga ulio pitiliza kusema hapakazitu umeme hakuna. Watu wanakufa na wengine wengi wakiugua kipindupindu. Ni ujinga zaidi kwa wale wasio na kazi nao kushiriki ujinga huo eti hapakazitu!


hayo ndio mambo yanayotufanya tuwe na haja ya kupata viongozi. Matatizo yanatufanya tutafute viongozi hodari kama magufuli. Ni mtu wa kazi wala sio mtu anayedanganya eti atakuletea kila kitu at your disposal kama afanyavyo edo, (#hapa kazi tu) ni motto kuwa ktk serikali yake maendeleo yatakuja kwa kazi tu, na yeye atakuwa atakuwa mtu mchapa kazi. Elewa kwa urahisi, acha ukilaza!
 
Afya njema ndiyo inayohitajika hatutaki rais anayeharisha na kujinyeanyea ovyo
 
Anawaonesha kuwa yuko fit.

Mwambieni Lowassa ajaribu hilo.

Lowassa yupo fit kichwani...na ndiyo kinachohitajika kwa hii dunia ya sasa ambayo ni digital world!
Mashine kama TINGATINGA always zipo very manual...
 
umetumia akili kufikiri au vipi????? Magfuli yupo katika mwendelezo wa kuwahakikishia watanzania kuwa yuko fit kiafya na wala hayuko goigoi kama alivyo lowassa, magufuli anafuraha kubwa kuwaona watanzania wengi kumlaki tena wakiwa na imani naye. Pia magufuli ni mtu asiyependa sana itifaki/protocol, namfananisha na barack obama ambaye hapendi sana kufuta protocol na mara nyingi amekuwa mchangamfu na mcheshi. Magufuli ni kiongozi wa pekee sana.
Magufuli hawezi kuwa fit acha kujidanganya Magufuli anamoyo ulioshonwa yani unakiraka sasa hapo ufit uko wapi wewe??ndugu moyo ukishachezewa nakuwekwa chuma si moyo tena muda wowote mshare unaweza kusimama!tena mmshauri kipindi hiki cha stress na makazi mengi ya kampendi asilete mbwembwe akaja akasababisha lakusababisha.
 
ubaya atusomi vitu rais wa 32 wa usa alikuwa mgonjwa wa polio na ndiye miongoni mwa maraisi wenye michango mikubwa dunia nzima kuanzia kuanzisha un na kukabiliana na ged ........watanzania tuchague watu kisa stunts kwenye kampeni tutafika tu tunapostahili kutokana na ujinga wetu

Hata hivyo tunachagua mtu mwemye akili sio mwenye nguvu kwan hata jeshini wanachukta wenye akili siku hz nguvu wameachia maroboti
 
hayo ndio mambo yanayotufanya tuwe na haja ya kupata viongozi. Matatizo yanatufanya tutafute viongozi hodari kama magufuli. Ni mtu wa kazi wala sio mtu anayedanganya eti atakuletea kila kitu at your disposal kama afanyavyo edo, (#hapa kazi tu) ni motto kuwa ktk serikali yake maendeleo yatakuja kwa kazi tu, na yeye atakuwa atakuwa mtu mchapa kazi. Elewa kwa urahisi, acha ukilaza!

na maisha bora kwa kila mtanzania nayo ilikuwa motto
 
Tuna characters mbili tofauti kwa kila kitu.
Mmoja ni active, aweza kupanda na kushuka for as long as he likes, mwingine hata kupanda jukwaani anahitaji support.

Huku mmoja akiwa na uwezo wa kutoa hotuba kwa masaa, mwingine has to wait for the final ten minutes ndio asimame kutoa hotuba, coz he wouldn't last for more than 15minutes on the podium.
....jamani hata kufutwa kamasi, kushika mic ni shiiiidah!!!
 
Hata hivyo tunachagua mtu mwemye akili sio mwenye nguvu kwan hata jeshini wanachukta wenye akili siku hz nguvu wameachia maroboti

Watu wenye akili wakisikia haja kubwa/ndogo wanaenda chooni.
 
Msifie huyu, mponde yule lakini haya yakishapita and with green vegetables on your menu your shit will always color the same. Tutalala tutaamka ktk nyumba zilezile tukilipa bili zilezile, tukiugua magonjwa yaleyale na katika hospitali zilezile zisizo na dawa zilezile, na kusafiri kwa daladala zilezile kwa bei ileile na ukifika home mgao wa umeme ni ule ule, na itafika saa mbili vile vile utasikia Habari za watu kupiga bilioni kama vilevile, yani in short kitachobadilika ni tarehe,with green vegetables on your menu your shit will always color the same.
 
Lowassa yupo fit kichwani...na ndiyo kinachohitajika kwa hii dunia ya sasa ambayo ni digital world!
Mashine kama TINGATINGA always zipo very manual...

Angekuwa fit kichwani angesahau hata jina la mkewe? Fikiri.
 
Kwamba hamjui msg hyo anakoituma!?? JF kumejaa watoto wa BRN these dayz.
 
Back
Top Bottom