Hii Magufuli sasa unapitiliza watu watakujudge vingine!

Hii Magufuli sasa unapitiliza watu watakujudge vingine!

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,951
Reaction score
9,468
Katika kitu ambacho utajikuta unafanya vitu tofauti ni sasa kipindi hiki cha uchaguzi! inaonesha uneanza kupagawa unahitaji msaada wa ushauri au daktari wa msongo!...Mgombea wa urais unapitia katika roof ya gari juu??This is too much this is a psychiatric case he need a psychologist to help him!
Madaktari msaidieni huyu mtu!
 
Attachments

  • 1443632570136.jpg
    1443632570136.jpg
    47 KB · Views: 4,656
Katika kitu ambacho utajikuta unafanya vitu tofauti ni sasa kipindi hiki cha uchaguzi! inaonesha uneanza kupagawa unahitaji msaada wa ushauri au daktari wa msongo!...Mgombea wa urais unapitia katika roof ya gari juu??This is too much this is a psychiatric case he need a psychologist to help him!
Madaktari msaidieni huyu mtu!

Ni comedy bongo movie au nini hii? Seriously mtu unaleta jokes eti ndo uaminiwe kupewa Urais
 
Katika kitu ambacho utajikuta unafanya vitu tofauti ni sasa kipindi hiki cha uchaguzi! inaonesha uneanza kupagawa unahitaji msaada wa ushauri au daktari wa msongo!...Mgombea wa urais unapitia katika roof ya gari juu??This is too much this is a psychiatric case he need a psychologist to help him!
Madaktari msaidieni huyu mtu!

Ongea yote......... ila Magufuli ni rais wako wa awamu ya tano.
 
magufuli anapenda kujionesha sana... anaweza uongozi ila hajui sera na hana ushawishi.

namkubali but kila siku ananiangusha... kufanya vituko ni jambo la kawaida ila vituko vikizidi inakuwa kero inaonesha mtu hayuko serious....

akiwa rais nadhani atakuwa anapanda bodaboda ili kufurahisha watu.
 
Ongea yote......... ila Magufuli ni rais wako wa awamu ya tano.
Mimi sigombei urais ila siwezi kuchagua Rais wa aina hii kwakuwa akili yangu iko juu zaidi ya huyu!hata akiniongoza ajue mimi sikumchagua na zaidi hatashinda kwa taarifa nakupa jiandae kuwa mfuasi wa chama cha upinzani.
 
Katika kitu ambacho utajikuta unafanya vitu tofauti ni sasa kipindi hiki cha uchaguzi! inaonesha uneanza kupagawa unahitaji msaada wa ushauri au daktari wa msongo!...Mgombea wa urais unapitia katika roof ya gari juu??This is too much this is a psychiatric case he need a psychologist to help him!
Madaktari msaidieni huyu mtu!
FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Afya kwa mgombea

Jaman msifanye mchezo..kikwete alichekacheka tukamuita baby face. Matokeo yake kachekea chekea kila kitu mpaka misiba..huyu anapiga push up mara anaruka juu ya gari tunasema komandoo
. Hivi ni sheria kweli...huu uhuni..nilisijia magufuli ni mnywa virona anachanganya na coca sikuamini leo nimeshuhudia..
 
Katika kitu ambacho utajikuta unafanya vitu tofauti ni sasa kipindi hiki cha uchaguzi! inaonesha uneanza kupagawa unahitaji msaada wa ushauri au daktari wa msongo!...Mgombea wa urais unapitia katika roof ya gari juu??This is too much this is a psychiatric case he need a psychologist to help him!
Madaktari msaidieni huyu mtu!

Jombaaa watu watakushangaa wewe na kukujaji wewe....hizi ni mbinu za kumtoa nishai adui yake......Anamanisha kama anaweza na yeye alipe...tunaitaji kiongozi shupavu hali ikichafuka asimame....apige pushapu....aruke kupitia juu ya rooof ya chochote.Mgonjwa haya hayawezi.Nchi ina wababe hiii!!!!!!
 
Hivi ni kweli hatumuoni mgombea ambaye anahitaji hasa msaada wa madaktari wa aina zote physiotherapy na pschotherapy. mpaka tumuone magufuli , tuacheni utani let us be serious na hatma ya nchi na taifa.
 
low ass akifanya hivi anakufa palepale
 
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa jamhuri tayari kuhutubia wakazi wa Dodoma mjini.
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Dodoma mjini waliofurika kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika ndani ya uwanja wa Jamhuri mjini hapo.
​
Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba akielezea umuhimu wa amani katika Taifa letu na kusema kuna umuhimu wananchi kujifunza historia kabla ya kuwania nafasi mbali mbali za uongozi kwani itasaidia kutunza na kuilinda misingi iliyowekwa na waasisi wa Taifa hili.
Warioba alimpongeza sana mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kwa kuhubiri amani katika kila mkutano wake wa kampeni kitu ambacho kinasaidia sana kuwakumbusha wananchi wa Tanzania kudumisha na kuitunza amani kati yetu.
​
Mgombea Ubunge jimbo la Dodoma mjini akimuelezea Mgombea wa Urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli changamoto mbali mbali za Dodoma mjini kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri mjini hapo.
​
Mgombea ubunge wa jimbo la Dodoma mjini Ndugu Anthony Mavunde akihutubia wakazi wa Dodoma mjini mbele ya mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Jamhuri mjini hapo.

​
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Abdalla Bulembo akihutubia wakazi wa Dodoma mjini kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Jamhuri mjini hapo
 
Jaman msifanye mchezo..kikwete alichekacheka tukamuita baby face. Matokeo yake kachekea chekea kila kitu mpaka misiba..huyu anapiga push up mara anaruka juu ya gari tunasema komandoo
. Hivi ni sheria kweli...huu uhuni..nilisijia magufuli ni mnywa virona anachanganya na coca sikuamini leo nimeshuhudia..

Jombaaa tatizo hapa ni jazba unaleta mpaka unashindwa andika.....Virona ni nini hiki???hapa jombaaa MEMKWA inakuhusu.
 
Kweli mwaka tuna wagombea. Wengine wanatokea madirishani na kupiga push-ups na wengine wanasaidiwa kupanda jukwaani hata kufutwa kamasi
 
kapagawa kweli aisee ni kwasababu anaona anashidwa uchaguzi lowasa raisi
 
Back
Top Bottom