Hii Magufuli sasa unapitiliza watu watakujudge vingine!

Ni comedy bongo movie au nini hii? Seriously mtu unaleta jokes eti ndo uaminiwe kupewa Urais
Sio Jokes, Anahitaji matibabu ya akili. Huyu tukileta mzaha wa kwamba anaonyesha ukakamavu tunaweza mkuta kafia majini. Hashindwi kujirusha toka gorofani. Kuna mambo anafanya ni lazima tuwe makini nayo sana.
 
magufuli anapenda kujionesha sana... anaweza uongozi ila hajui sera na hana ushawishi.

namkubali but kila siku ananiangusha... kufanya vituko ni jambo la kawaida ila vituko vikizidi inakuwa kero inaonesha mtu hayuko serious....

akiwa rais nadhani atakuwa anapanda bodaboda ili kufurahisha watu.

Kuna mtu alipanda dala dala na mkamsifu...kwani boda ina shida gani...nkurunzinza alienda kupiga kura anaride bcycle.....je intergrety ya rais ilipotea....mwanasiasa kipindi hichi huweza kufanya lolote kuwin peoples power
 
magufuli anapenda kujionesha sana... anaweza uongozi ila hajui sera na hana ushawishi.

namkubali but kila siku ananiangusha... kufanya vituko ni jambo la kawaida ila vituko vikizidi inakuwa kero inaonesha mtu hayuko serious....

akiwa rais nadhani atakuwa anapanda bodaboda ili kufurahisha watu.

unazani ni yule mzee mnafiki alieenda kunywa chai kwa mama lishe na kuzunguka kwenye madaladala.
 
Sio Jokes, Anahitaji matibabu ya akili. Huyu tukileta mzaha wa kwamba anaonyesha ukakamavu tunaweza mkuta kafia majini. Hashindwi kujirusha toka gorofani. Kuna mambo anafanya ni lazima tuwe makini nayo sana.

Anayehitaji matibabu ni yule mtu mzima anayeshindwa kwenda chooni...........!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Katika kitu ambacho utajikuta unafanya vitu tofauti ni sasa kipindi hiki cha uchaguzi! inaonesha uneanza kupagawa unahitaji msaada wa ushauri au daktari wa msongo!...Mgombea wa urais unapitia katika roof ya gari juu??This is too much this is a psychiatric case he need a psychologist to help him!
Madaktari msaidieni huyu mtu!
Hii ndio sababu Magufuli yupo juu sana.Ni kazi tu.yupo sharp.wewe jikongoje
 
magufuli anapenda kujionesha sana... anaweza uongozi ila hajui sera na hana ushawishi.

namkubali but kila siku ananiangusha... kufanya vituko ni jambo la kawaida ila vituko vikizidi inakuwa kero inaonesha mtu hayuko serious....

akiwa rais nadhani atakuwa anapanda bodaboda ili kufurahisha watu.
Acha unafiki
 
kisa betry lowa hawezi ndo imekuwa nongwa...Magufuli ni Rais wa awamu ya tano tz.
 
Ndio maana watu wanataka azunguke na mkewe...
 
Wanasaikolojia njoeni mambo yanaharibika huku. Je magu alishaugua kichaa kwamba kimerejea?
 
unazani ni yule mzee mnafiki alieenda kunywa chai kwa mama lishe na kuzunguka kwenye madaladala.

sina maana mbaya ila kwa hivi vituko sio kabisa...
kwani angepitia mlangoni apepungukiwa na nini?

usilete ubishani wa kisiasa maana mi siko upande wowote.
 
Back
Top Bottom