chapaa
JF-Expert Member
- Feb 19, 2008
- 2,351
- 203
Jamaa kamuaga my wife wake anasafiri kibiashara(mnunuzi wa mazao) na angerudi baada yasiku 3,huku nyuma wapambe wakampasha mkewe kwamba jamaa kaone kana gesti na kimanzi wakijivinjari mke kusikia hivyo akapanic pasipo kufanya uchunguzi yakinifu akaamua kuwatelekeza wanae 2 na kusema kwamba "dawa ya moto ni moto,jino kwa jino"nakujichanganya mitaa nae akisaka wa kumfanya alipize kisasi yaani akaisaliti ndoa yake!!.Jamaa alivyokuwa kwenye biashara zake akakutana na shemejie(kaka wa mkewe)wakaamua waongozane wote ili akamsalimie dada yake kufika wakakuta mwanamke kajaa kifua kwa hasira na kuwadaka juu juu bila salamu na kuanza kumshitaki mmewe kwa kaka ake wote wakabaki midomo wazi.Alikuwa na maana gani kuisaliti ndoa yake kwa jambo lisilo na udhibitisho?.