Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,974
- 35,341
Labda nikuulize kabla sijatoa mawazo yangu, hapo kwako mke wako hua unamruhusu kwenda kila mara akiitwa?
swali mwanana.Labda nikuulize kabla sijatoa mawazo yangu, hapo kwako mke wako hua unamruhusu kwenda kila mara akiitwa?
swali mwanana.Haya maswali yako inabidi ujiulize kwanza kabla hujaozesha binti yako. Ukiona mapicha picha mengi usiozeshe muendelee kusalimiana na mwanao hapo home daily.Kwa hiyo mkuu, unaruhusu baharia ampangie mtoto wako ni lini aje akujulie hali?
Itabidi atakayemuoa binti yagu aishi kwenye boma languHaya maswali yako inabidi ujiulize kwanza kabla hujaozesha binti yako. Ukiona mapicha picha mengi usiozeshe muendelee kusalimiana na mwanao hapo home daily.
Sa ndo nini? Usiozeshe tu kama ndio hivyo. Binti yako akishaolewa anakua si wako tena.Itabidi atakayemuoa binti yagu aishi kwenye boma langu
Ndio ujue toka zamani hawakuwa wanahangaika na mtoto wa kike, hata idadi yao haikuwa ikitajwa, yaani sensa isingewahusu kabisa. Weka akili kichwani. Ulipopokea mahari uliona utamu eeenh sasa ndio ujue ulimuuzaUmepambana kumlea na kumsomesha mtoto wako wa kike, mpaka akafikia hatua fulani ya elimu; iwe cheti, diploma, degree, masters, PhD, au u-profesa. Baada ya hapo, akaolewa na akawa na mji wake.
Changamoto: Leo hii unataka binti yako aje akusalimie nyumbani; itamlazimu mpaka aombe ruhusa kwa mumewe, na amruhusu, ndio aweze kufika, asiporuhusiwa hatokuja kukujulia hali.
Swali: Hii kwako unaichukuliaje, ukiangalia wewe ndio mzazi, uliyemlea na kumgharamikia elimu; lakini cha ajabu, leo mtu baki ndio anayempangia aje akuone ama asije kukuona?
Hapo mtihani sasaSa ndo nini? Usiozeshe tu kama ndio hivyo. Binti yako akishaolewa anakua si wako tena.
Unajua kwanini mkuu? wakati unamuzesha mkeo kwa mkweo nadhani hukumpa bure bureSwali: Hii kwako unaichukuliaje, ukiangalia wewe ndio mzazi, uliyemlea na kumgharamikia elimu; lakini cha ajabu, leo mtu baki ndio anayempangia aje akuone ama asije kukuona?
Mkuu, umeeleweka, suluhisho ni kutokupokea mahariUnajua kwanini mkuu? wakati unamuzesha mkeo kwa mkweo nadhani hukumpa bure bure
Unayakumbuka yale masharti uliyokua ukimpa bwana mkubwa? unakumbuka yale mablanket
ya shangazi,mashuka ya mama,ng'ombe dume wa babu,nk unakumbuka yale mazaga zaga mkuu
Jamaa alikua kama boya hivi kachutama anakupa tu,vingine ilibidi hadi akakope maana mzee ulikua
umekaza kweli binti yako bila mahari flani binti hatoki,si mahari ikaletwa mkuuu,ukaipokea eeeh mkafurahi
sasa kifuatacho ITV unajua nini mkuu? Huyo binti sio wako ushamuuza bobuuu,mali ya wenyewe hiyooo
ADA ZAKO MALEZI YAKO NADHANI ULIJUMLISHA KWENYE ILE MAHARI NA UKAPEWA sasa nini tena mkuu wangu
Haya malalamiko mkuu yatakua yananoga kama TU siku ya Kuozesha hukuchukua hata senti toka ukweni
SABABU : Unawambia sichukui hata senti yenu,nawapa mwanangu mkaishi nae nikimuhitaji muda wowote
nahitaji afike hapa kwa wakati,simuuzi mwanangu kwa ng'ombe wala ndama wala chochote kile Mungu awabariki
mkawe na ndoa njema na yenye baraka, Unawabariki pale kisha haoo wanasepa na mwanao.
Ukifanya hivyo mkuu nakuhakikishia siku mkweo akikuta tu missed call yako kwa mkewe anampa nauli anakuja kukusikiliza.
Ila kama hukufanya yote hayo mzee baba,mke ataruhusiwa kuja kwako tu kama kuna special Case otherwise utapokea miamala TU utatue changamoto zako.
Itokee, mkwe wangu anamzuia binti yangu asijekuniona, hatutaelewana, kwa sababu sitachukua mahari wakati wa kumuozeshaUmeozesha huna mamlaka kwa binti yako ya Nini afanye nini asifanye..kusomesha ni wajibu wako kama mzazi..ila yote kwa yote mpate tu wakwe wenye akili timamu
Weeeeh!!..Basi sawaItokee, mkwe wangu anamzuia binti yangu asijekuniona, hatutaelewana, kwa sababu sitachukua mahari wakati wa kumuozesha
HaswaaaMkuu, umeeleweka, suluhisho ni kutokupokea mahari
Umepambana kumlea na kumsomesha mtoto wako wa kike, mpaka akafikia hatua fulani ya elimu; iwe cheti, diploma, degree, masters, PhD, au u-profesa. Baada ya hapo, akaolewa na akawa na mji wake.
Changamoto: Leo hii unataka binti yako aje akusalimie nyumbani; itamlazimu mpaka aombe ruhusa kwa mumewe, na amruhusu, ndio aweze kufika, asiporuhusiwa hatokuja kukujulia hali.
Swali: Hii kwako unaichukuliaje, ukiangalia wewe ndio mzazi, uliyemlea na kumgharamikia elimu; lakini cha ajabu, leo mtu baki ndio anayempangia aje akuone ama asije kukuona?
Naona wengi huwa wanafanya hivyo; ingawa inaonekana baba anajipendekeza kwa wanaweUnatakiwa baba kujenga urafiki na wanao hao kisha kila kitu kinawezekana.....
Hiyo haipoHuna chako
KATAA NDOA
NDOA NI UBINAFSI

Hii kampeni inatofauti gn na kampeni za ushogaKATAA NDOA
NDOA NI UBINAFSI