Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,488
- 108,827
Kuolewa siyo lazima, simama na msimamo wa kutoolewa uwe huru kabisa ukitaka kukesha club hata siku mbili mfulululizo ruksa, kwa nini ujibane na ndoa?.Suluhisho hapa ni kutokupokea mahari ili binti awe huru anapokuwa kwenye ndoa
Kwa akili hizi usithubutu kuolewa unaweza kwenda kuuwawa kabisa, kuna wanaume hawana muda wa kubishana na Mwanamke mjuwaji.