Navyojua watt wa kike ndo tunaongoza Kwa kutunza wazazi kisirisiriYan Kuna taratibu fulani mi mwenyewe huwa zinanipa shida sana..hasa kuhusu hawa mabinti zetu..yan utakuta binti umepambana naye kuanzia awali hadi chuo kikuu umemsomesha Kwa mbinde hadi anafanikiwa anapata kazi..sasa Mzee umeshachoka unataka kumpiga kirungu binti..hee anakujibu ngoja nimwambie kwanza baba nanihiii..agriiiiii!??
Halafu ukizingatia huyo baba nanihiii ni mjuba tu flani yan mjingamjinga..


kwani wakiume wazaz wake hawamghalamikii mkuh
Yan Kuna taratibu fulani mi mwenyewe huwa zinanipa shida sana..hasa kuhusu hawa mabinti zetu..yan utakuta binti umepambana naye kuanzia awali hadi chuo kikuu umemsomesha Kwa mbinde hadi anafanikiwa anapata kazi..sasa Mzee umeshachoka unataka kumpiga kirungu binti..hee anakujibu ngoja nimwambie kwanza baba nanihiii..agriiiiii!??
Halafu ukizingatia huyo baba nanihiii ni mjuba tu flani yan mjingamjinga..