Hii Konyagi Kubwa Mpya mnaionaje wadau?

Hii Konyagi Kubwa Mpya mnaionaje wadau?

Ila viroba tulikuwa tunakunywa vingine feki (Made in Mwanjelwa). Unakuta unameza funda la kiroba mpaka machozi yanataka kutoka!! Lakini unakomaa nacho tu hukimwagi!!!

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
We achaa tu afu chap sana mtu unakuwa poa ila izi za bottle now zimekuwa diluted sana
 
Hili goma bana toka limeingia sokoni kwakweli binafsi naliona tofauti kabisa....sijui wenzangu mnasemaje?

La zamani bhana chupa kubwa kuipiga ilikuwa hadi tonic au kalimao kidogo....ila la sasa lile la 750mls nalipiga bila kichanganyio na linaenda smoothly kabisa. au nina pressure ya maisha jamani?

Mimi sio mtumiaji wa hayo mavitu magumu tangu nilipofukuzwa shule kutokana na konyaji,ila walevi wengi wa haya mavitu wameamia kwa K-Vant nami pia nakushauri amia huko.😀😱
 
hapo unaona umeshika chupa tatu, thubutu kukutwa naona jombaa vyombo vimeshatiki mdomo unazidi kuvutika tu [emoji2]
 
Mimi sio mtumiaji wa hayo mavitu magumu tangu nilipofukuzwa shule kutokana na konyaji,ila walevi wengi wa haya mavitu wameamia kwa K-Vant nami pia nakushauri amia huko.😀😱

K-Vant? Ila unaweza kuwa sahihi. Maana jana nilikuwa mahala wakaja wadada watatu wakalichukuwa lile kubwa la K-Vant wakaanza kulishusha. Nazan na mm itabidi niamie huko.
 
K-Vant? Ila unaweza kuwa sahihi. Maana jana nilikuwa mahala wakaja wadada watatu wakalichukuwa lile kubwa la K-Vant wakaanza kulishusha. Nazan na mm itabidi niamie huko.
Ile kitu INA nguvu sana .. Nilishawahi potea mlango[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Saizi nimepumzika kula zee la upako. Napiga zangu Safari Lager ndogo 6 kwa 9000 langu saaafii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom