Hii Konyagi Kubwa Mpya mnaionaje wadau?

Hii Konyagi Kubwa Mpya mnaionaje wadau?

Nilitaka nilipige kesho lakini huu uzi umenihamasisha goma nilichape saa hizi!.
 

Attachments

  • 20170505_150805.jpg
    20170505_150805.jpg
    57.8 KB · Views: 100
Ila viroba tulikuwa tunakunywa vingine feki (Made in Mwanjelwa). Unakuta unameza funda la kiroba mpaka machozi yanataka kutoka!! Lakini unakomaa nacho tu hukimwagi!!!

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu umenichekesha maana viroba kweli vilikua noma
 
Konyagi kadiri inavyokuwa kubwa ndio na ukali unapungua, kiroba ni kikali kuliko konyagi ndogo ya chupa! Konyagi ndogo ya chupa ni kali kuliko Ya chupa ya 500mls! ya 500mls ni kali kuliko ya 750mls!
Sijaielewaga sayansi iliyopo hapo! najinyweyaga tu huku nawaza majibu ya huu mpishano wa ukali!!
Sipati picha ukali wa Kiroba wangeweka kwenye bapa nadhani ingeua sana.!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom