Kiberiti Kidogo
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 575
- 918
- Thread starter
- #101
Ndiyo mkuu siwezi
Pole sana. Mimi hilo nalipiga kavu kabisa.
Ndiyo mkuu siwezi
Yani kama hii picha ni yakwako mleta mada hakika nacheka sana.
......
Maini yanakaangika kama kwenye kikaangio, pweh.Ingekuwa ukimaliza bapa na maini yanaangukia tumboni!!
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app