Hii kitaalamu inaitwaje?

Hii kitaalamu inaitwaje?

Psalm_27

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2026
Posts
1,000
Reaction score
1,863
Hello guys!!!

Hali ya kutoka jasho bila sababu ya msingi....

.....Yani umetulia hakuna pressure yoyote, unashitukia kaubalidi kanapita tu, kutoka kwapani kuja chini.

.....Unakuja kuangalia ni jasho tu linatiririka then linakata, na hii situation hua inanitokea mara nyingi.

......Vipi kwenu wakuu, hua inawapata hii hali au inakua dalili ya nini....
Kwenu Great Thinkers!!!

Mahubiri DAY 05.
Yanaendelea
 
Back
Top Bottom