Unamuwaza mtu kisha anatokea, hali hii kitaalamu husababishwa na nini?

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,432
2,892
Habari za jioni.

Najua nina kiporo changu ambacho niliahidi kukileta hapa. Ni kuhusu kutoka na mke wa FFU na kupata masaibu niliopitia hadi kuachana naye.

Lakini leo kuna jambo ningependa kupata ufafanuzi wake.

Hivi inakuwaje mtu kuna muda unawaza jambo kisha ndani ya sekunde 3 linatokea.

- Unamuwaza mtu flani, kisha ndani ya sekunde ladhaa unamuona huyoooo!!!

- Unawaza mti mara simu inaita kumbe ni yeye

HALI HII INAITWAJE NA INATOKANA NA NINI KITAALAMU?

Hua inanitokea karibu kila siku na sijajua ufafanuzi wake...

Msaada kwa wajuzi tafadhali
 
Tupo wengi
 
Hahahahaha Nilikuaga nmepanga kuwaandikia uzi juu ya Nguvu ya mvuto wa kiasili tuliyonayo

Hayo uloyasema yapo kwa wanadam wote,.

Na ukisema ngoja Umuwaze, haitokei ng'ooo.

Ila ukijikuta hisia zinekupeleka mbali zenyewe, kama ni mtu atapita km mpo naye karibu , atakutafuta kwa simu..

Hii kitu inatokea pale tu upande wa pili naye ghfla na bila msukumo wanje, nayeye ameingiaa nahisia zilizomsafirisha mbaliiiii kiroho kiasi cha kukuwaza

Utashangaa ,hisia izo zikikata ,ukianza wee kumpigia nayeye atakuambia Daaaah nilikua nawaza sasa hivi......

Mara nyingi sana, inatokea kwa watu mlioungana nao kwa Damu yaan Ndugu mfan kaka, baba ,mama, dada ..

Au mfano mwengine , Mwanamke au mwanaume yoyote uliyealala naye kimapenzi ( Ivo mjuwe kadiri mtu anavyofanya ngono na waty tofauti ndivo anavyobadilishana chembechembe za kiroho)..

Hapa ndipo ilitokea ile Imani ya kweli kua, Kama hujaoa Bikra, umeoa Mke wa mtu, unless uyo ulomuoa alitubu dhambi hiyo ( Mtabisha sana lkn ndo ukweli huo).

Mambo ni mengi sana,,nmeandika kwa kuchanganya ila yote kwa yote na kwa uchache,kuna nguvu ya kiroho iliyopo kwenye suala hili.
 
Mimi kuna wakati hata nikimfikiria ndani ya dakika chache mtu huyo anapiga simu.
Kuna mzee mmoja wa kihindi ilitokea tumekua naye Urafiki.

Kuna vitu alikua akinieleza japo nilikua napuuza.

Unaweza kutumia uwezo wako wa kumfikiria mtu kwa kuacha fikra izo zitokee bila kusukumwa hata kama ni Ex wako mlooachana , ili mradi mlikutana kimwili na wote mpo hai , Akakutafuta mwenyewe
 
Habari za jioni.

Najua nina kiporo changu ambacho niliahidi kukileta hapa. Ni kuhusu kutoka na mke wa FFU na kupata masaibu niliopitia hadi kuachana naye.

Lakini leo kuna jambo ningependa kupata ufafanuzi wake.

Hivi inakuwaje mtu kuna muda unawaza jambo kisha ndani ya sekunde 3 linatokea.

- Unamuwaza mtu flani, kisha ndani ya sekunde ladhaa unamuona huyoooo!!!

- Unawaza mti mara simu inaita kumbe ni yeye

HALI HII INAITWAJE NA INATOKANA NA NINI KITAALAMU?

Hua inanitokea karibu kila siku na sijajua ufafanuzi wake...

Msaada kwa wajuzi tafadhali
Hii sijui inaweza kuingia ile "the law of attraction kwamba unachokifikiria ndo kinatokea 😀😀
 
Habari za jioni.

Najua nina kiporo changu ambacho niliahidi kukileta hapa. Ni kuhusu kutoka na mke wa FFU na kupata masaibu niliopitia hadi kuachana naye.

Lakini leo kuna jambo ningependa kupata ufafanuzi wake.

Hivi inakuwaje mtu kuna muda unawaza jambo kisha ndani ya sekunde 3 linatokea.

- Unamuwaza mtu flani, kisha ndani ya sekunde ladhaa unamuona huyoooo!!!

- Unawaza mti mara simu inaita kumbe ni yeye

HALI HII INAITWAJE NA INATOKANA NA NINI KITAALAMU?

Hua inanitokea karibu kila siku na sijajua ufafanuzi wake...

Msaada kwa wajuzi tafadhali

Hao ni watu enzi za nuhu tungesema wapakwa mafuta.
 
Ni mawasiliano baina ya nafsi ambayo humtokea mtu ambapo anakua hajajiamlia yaani tendon lisilo la hiali.

Kwasababu ukisema saivi uanze kumuwaza hatotokea kwasababu jambo hilo tayari limekuwa LA hiali
 
Hapa inabidi tumshirikishe mshana aje, ivo ni vitu vidogo sana kwake.
 
Hahahahaha Nilikuaga nmepanga kuwaandikia uzi juu ya Nguvu ya mvuto wa kiasili tuliyonayo

Hayo uloyasema yapo kwa wanadam wote,.

Na ukisema ngoja Umuwaze, haitokei ng'ooo.

Ila ukijikuta hisia zinekupeleka mbali zenyewe, kama ni mtu atapita km mpo naye karibu , atakutafuta kwa simu..

Hii kitu inatokea pale tu upande wa pili naye ghfla na bila msukumo wanje, nayeye ameingiaa nahisia zilizomsafirisha mbaliiiii kiroho kiasi cha kukuwaza

Utashangaa ,hisia izo zikikata ,ukianza wee kumpigia nayeye atakuambia Daaaah nilikua nawaza sasa hivi......

Mara nyingi sana, inatokea kwa watu mlioungana nao kwa Damu yaan Ndugu mfan kaka, baba ,mama, dada ..

Au mfano mwengine , Mwanamke au mwanaume yoyote uliyealala naye kimapenzi ( Ivo mjuwe kadiri mtu anavyofanya ngono na waty tofauti ndivo anavyobadilishana chembechembe za kiroho)..

Hapa ndipo ilitokea ile Imani ya kweli kua, Kama hujaoa Bikra, umeoa Mke wa mtu, unless uyo ulomuoa alitubu dhambi hiyo ( Mtabisha sana lkn ndo ukweli huo).

Mambo ni mengi sana,,nmeandika kwa kuchanganya ila yote kwa yote na kwa uchache,kuna nguvu ya kiroho iliyopo kwenye suala hili.
Point yako ipo lkn si kwenye mada hii coment yako imeonekana yakitoto Sana kwenye mada hii lkn ungeipeleka sehem sahihi ingerikua nijibu tosha
 
Hahahahaha Nilikuaga nmepanga kuwaandikia uzi juu ya Nguvu ya mvuto wa kiasili tuliyonayo

Hayo uloyasema yapo kwa wanadam wote,.

Na ukisema ngoja Umuwaze, haitokei ng'ooo.

Ila ukijikuta hisia zinekupeleka mbali zenyewe, kama ni mtu atapita km mpo naye karibu , atakutafuta kwa simu..

Hii kitu inatokea pale tu upande wa pili naye ghfla na bila msukumo wanje, nayeye ameingiaa nahisia zilizomsafirisha mbaliiiii kiroho kiasi cha kukuwaza

Utashangaa ,hisia izo zikikata ,ukianza wee kumpigia nayeye atakuambia Daaaah nilikua nawaza sasa hivi......

Mara nyingi sana, inatokea kwa watu mlioungana nao kwa Damu yaan Ndugu mfan kaka, baba ,mama, dada ..

Au mfano mwengine , Mwanamke au mwanaume yoyote uliyealala naye kimapenzi ( Ivo mjuwe kadiri mtu anavyofanya ngono na waty tofauti ndivo anavyobadilishana chembechembe za kiroho)..

Hapa ndipo ilitokea ile Imani ya kweli kua, Kama hujaoa Bikra, umeoa Mke wa mtu, unless uyo ulomuoa alitubu dhambi hiyo ( Mtabisha sana lkn ndo ukweli huo).

Mambo ni mengi sana,,nmeandika kwa kuchanganya ila yote kwa yote na kwa uchache,kuna nguvu ya kiroho iliyopo kwenye suala hili.
Emu tupe hii kwa kirefu ndugu
 
Nimekuelewa sana mkuu
 
Habari za jioni.

Najua nina kiporo changu ambacho niliahidi kukileta hapa. Ni kuhusu kutoka na mke wa FFU na kupata masaibu niliopitia hadi kuachana naye.

Lakini leo kuna jambo ningependa kupata ufafanuzi wake.

Hivi inakuwaje mtu kuna muda unawaza jambo kisha ndani ya sekunde 3 linatokea.

- Unamuwaza mtu flani, kisha ndani ya sekunde ladhaa unamuona huyoooo!!!

- Unawaza mti mara simu inaita kumbe ni yeye

HALI HII INAITWAJE NA INATOKANA NA NINI KITAALAMU?

Hua inanitokea karibu kila siku na sijajua ufafanuzi wake...

Msaada kwa wajuzi tafadhali
Wonderfull
 
Hii kitu nakumbuka niliisoma kwenye topic ya Psychology, nimesahau inaitwaje kitaalamu.
 
Sasa mm upande wangu iko tofauti kdg yaani nawaza neno ambalo mwenzangu niliyenae wakati huo au Radio au TV italitamka kwa muda huo nimejaribu kujiuliza nini hiki nimechoka,na ni karibu kila siku mfano naweza nikawa naongea na mtu tukajikuta tunatmka kwa pamoja "mvua inanyesha sasa hivi"
The same applies kwa Radio au TV yaani watangazaji watafuata vile ninavyowaza atleast maneno mawili au matatu!.
 
Back
Top Bottom