Hii kitaalamu inaitwaje?

Joined
Dec 20, 2023
Posts
47
Reaction score
78
Kuna hawa jamaa ukiwaongeleaga wadogo zao wa kike au dada zao Huwa wanakasirikaga ?

Mfano mimi Kuna mwanangu mmoja ukimtaja tu dada ake jamaa ananuna ......,yani ukimuambia tu dada ako ni pisi haongei na wewe siku nzima au ukimuambia mdogo wako nimemuelewa anamind

Hii inasababishwa na nini....ni kutokuwa na ukomavu wa kihisia wa kiume au?..
Huwaga nacheka tu jamaa akimind
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…