comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 6,447
- 11,504
Ni kama wamekata maji makusudi ili hii habari itrend zaidi watu wasahahu yaliotokea Oktoba 29, mimi nikishaona habari mbaya mbaya zinapostiwa hadi na TBC kila saa na vyombo vingine machawa vya Tanzania ujue kuna walakini.
Shtukeni huu ni mchongo.
Wametengeneza tatizo halafu baada ya muda mfupi watakuja kulitatua halafu kuna mtu ataonekana shujaa, na vyawa watapewa kichaka kipya cha kumsifia Mungu wao kwa tatizo alilolitatua.