Wakiyapata,hawatawaza mambo mengine?. Au watakuwa wanayatafuta tuuuuu halafu hawayapati kabisa?watu wakiwa bize kuwaza na kutafuta maji hawatawaza mambo mengine.
watakuwa BIZE kutafuta maji hasa majiji makubwa badala ya kufuatilia mambo mengine .Wakiyapata,hawatawaza mambo mengine?. Au watakuwa wanayatafuta tuuuuu halafu hawayapati kabisa?
Kwamba masaa 24 yote watu watakuwa bize KUTAFUTA Maji?. Wakati mtu anasubiri foleni ya Maji si anaingia kwenye sosho midia kama humu hivi na kukutana na mijadala mbalimbali ikiwemo hiyo wanayoihofia?. Labda wazime intaneti😀watakuwa BIZE kutafuta maji hasa majiji makubwa badala ya kufuatilia mambo mengine .
Mjadala utahamia kuongelea maji badala ya mijadala ya mambo mengine...watu wataongelea kuhusu maji ...maji...maji!
Mijadala inayoongelewa ,talk of the town..itabadilika ..itahamia kwenye malenga...minza.....mringa..water water badala ya mijadala minginrKwamba masaa 24 yote watu watakuwa bize KUTAFUTA Maji?. Wakati mtu anasubiri foleni ya Maji si anaingia kwenye sosho midia kama humu hivi na kukutana na mijadala mbalimbali ikiwemo hiyo wanayoihofia?. Labda wazime intaneti😀
This will be effective only if 'THE GUILTY' wakiwa kimya kabisa na hawaonekani kwenye media. Wakionekana au wakisikika tu wanaamsha vilivyolala on the spot😀Mijadala inayoongelewa ,talk of the town..itabadilika ..itahamia kwenye malenga...minza.....mringa..water water badala ya mijadala minginr
topic nyingine zilizozoeleka kujadiliwa sana
1.simba na yanga
2.wasanii..wa bongofleva
Kama mtu anaweza kuchukua uhai wa ma elfu ya watu kuwakatia maji sio ishu kwakeKama huo ni mpango kweli na sio tatizo kama wanavyodai, hao watu basi wana roho za kinyama sana. Maji sio huduma ya kuchezea kabisa.