kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 6,611
- 12,735
Hello watanzania wenzangu!
Ebana kabla ya kwenda kwenye point naomba nidiklee interest kuwa mimi nimeoa,nina mtoto mmoja and I am responsible father for 100%.
Sasa bana, mimi ni mzee wa tungi ingawa sio wale wa kunywa hadi kubebwa,na nakunywa bia tu sio hizi double kick.
So last weekend wife alitoa kauli flani ambayo ingawa nilikua nimelewa ila ilinifikirisha sana,wife alisema kwamba hataki mtu mlevi ndani kwake. Na ikumbukwe hapo ndani mnywaji ni mimi tu.
Nikaona kabla ya kumzaba makofi niwaulize wadau, huyu mke wangu alikua na maana gani hivi?