Hii kauli ya Makamu wa Rais ina maana gani?

JWTZ yetu ni Jeshi la kistaarabu sana.
Moja ya Taasisi ambazo hazijaingizwa siasa kama vyombo vingine vya usalama
Nina hadithi nyingi za kwasimulia juu ya umahiri wa Jeshi letu lakini kama hata wao wanaandika katika Daily Order, IMEZUILIWA.
Waziri raia katika MOD inabidi aelewe nafasi yake la sivyo anajikuta redundant.
Yalimpata waziri Maokola Majogo enzi za Mkapa.
Ikabidi aombe poo!
 
Mh. Dr. Isidori Mpango hakupaswa kutoa maneno hayo kwa Waziri wa Ulinzi kwa uwazi namna hii ambapo maneno haya wameyapata hawa wanajeshi.

Hii sio sahihi kabisa inakuwa kama vile anamchonganisha Tax na Maafande! Pia itawafanya Maafande wasimheshimu hiyu Waziri wao na itamfanya Tax asijiamini atakapokuwa na hao Maafande.

Generally, Makamu wa Rais katereza kwa hilo andiko!!!😆😆😆
 
JWTZ yetu ni Jeshi la kistaarabu sana.
Moja ya Taasisi ambazo hazijsingizwa siasa kama vyombo vingine vya usalama.
Nina hadithi nyingi za kwasimulia juu ya umahiri wa Jeshinletu lakini kama hata wao wanaandika katika Daily Order, IMEZUILIWA.

Yalimpata waziri Maokola Majigo enzi za Mkapa.
Ikabidi aombe poo!
Kwa jinsi TZ ilivyo usiseme jeshi halijaingizwa siasa. Huoni akina Makamba, Mkuchika, Komba, Lowasa, na wengine akina kikwete,, Kinana, watu kibao walitoka CCM kuingizwa jeshini na wakarudi CCM?

Angalia wanajeshi kibao wakistaafu wanapewa vyeo vya CCM, usiseme jeshi halipo kisiasa sema jeshi lipo kisiasa za CCM lakini nao wangeruhusu ex military akistaafu ajiunge na upinzani wa CCM mbona mngekoma mapema sana CCM???

Maana ingekuwa kuna wafuasi wa vyama vingine pia kama walivyokomesha Ile uchaguzi wa 2015 walimnyoosha jiwe mpaka akawachukia kweli maana makambini kote CHADEMA ilikuwa inaongoza.
 
JWTZ yetu ni Jeshi la kistaarabu sana.
Moja ya Taasisi ambazo hazijsingizwa siasa kama vyombo vingine vya usalama.
Nina hadithi nyingi za kwasimulia juu ya umahiri wa Jeshinletu lakini kama hata wao wanaandika katika Daily Order, IMEZUILIWA.
Waziri raia katika MOD inabidi aelewe nafasi yake la sivyo anajikuta redundant.
Yalimpata waziri Maokola Majigo enzi za Mkapa.
Ikabidi aombe poo!
Hivi huyo mama ni raia "parsee"?

Naona anaweza kuwa na exposure na security clearance ya juu sana kuzidi hata wapiganaji wengi
 
Mh. Dr. Isidori Mpango hakupaswa kutoa maneno hayo kwa Waziri wa Ulinzi kwa uwazi namna hii ambapo maneno haya wameyapata hawa wanajeshi.

Hii sio sahihi kabisa inakuwa kama vile anamchonganisha Tax na Maafande! Pia itawafanya Maafande wasimheshimu hiyu Waziri wao na itamfanya Tax asijiamini atakapokuwa na hao Maafande.

Generally, Makamu wa Rais katereza kwa hilo andiko!!!
Eti waziri wa ulinzi.... Jamani hii nafasi ni nyeti Sana kwenye nchi ila naona hapa bongotozo wanaifanyia mzaha
 
Kwa jinsi TZ ilivyo usiseme jeshi halijaingizwa siasa. Huoni akina Makamba, Mkuchika, Komba, Lowasa, na wengine akina kikwete, Maokola Majogo, Kinana, watu kibao walitoka CCM kuingizwa jeshini na wakarudi CCM?

Angalia wanajeshi kibao wakistaafu wanapewa vyeo vya CCM, usiseme jeshi halipo kisiasa sema jeshi lipo kisiasa za CCM lakini nao wangeruhusu ex military akistaafu ajiunge na upinzani wa CCM mbona mngekoma mapema sana CCM???

Maana ingekuwa kuna wafuasi wa vyama vingine pia kama walivyokomesha Ile uchaguzi wa 2015 walimnyoosha jiwe mpaka akawachukia kweli maana makambini kote CHADEMA ilikuwa inaongoza.
Hujlielewa bandiko langu kabisa.
Soma tena.
 
Mh. Dr. Isidori Mpango hakupaswa kutoa maneno hayo kwa Waziri wa Ulinzi kwa uwazi namna hii ambapo maneno haya wameyapata hawa wanajeshi.

Hii sio sahihi kabisa inakuwa kama vile anamchonganisha Tax na Maafande! Pia itawafanya Maafande wasimheshimu hiyu Waziri wao na itamfanya Tax asijiamini atakapokuwa na hao Maafande.

Generally, Makamu wa Rais katereza kwa hilo andiko!!!😆😆😆
Hakuteleza kabisa ule ndio ukweliii!!!
Alisema machache yenye umuhimu makubwa mfano
"mbunge wa kudumu wa Kongwa"
"sehemu zisizo na grid ya Taifa nao wafikiliwe "
"Tuchakape kazi tumsaidie Mh. Rais "
Aliyekosea ni yule aliyesema
"kuna mikataba mibovu ya..... nenda kashughulike nayo utafikiri hakuwepo au kamati yake ilikuwa likizo "😇😇😂
"sisi kule kuna watu wanapanda na wengine wanashuka na kupotea kabisa (utafikiri yeye ndiye Israel mtoa roho) "au maisha ya wengine yanategemea ni siasa tu """""
Ndunguliwe kamjibu kwa bashasha na kuPongeza uteuzi wa Mh. Rais that is very excellent.
 
JWTZ yetu ni Jeshi la kistaarabu sana.
Moja ya Taasisi ambazo hazijaingizwa siasa kama vyombo vingine vya usalama
Nina hadithi nyingi za kwasimulia juu ya umahiri wa Jeshi letu lakini kama hata wao wanaandika katika Daily Order, IMEZUILIWA.
Waziri raia katika MOD inabidi aelewe nafasi yake la sivyo anajikuta redundant.
Yalimpata waziri Maokola Majogo enzi za Mkapa.
Ikabidi aombe poo!
Umenikumbusha mbali kwenye hili sakata la Maokola Majogo.
Pia Prof. Sarungi alipoingia alikuta hali si shwari, ikambidi aende kwanza kumtafuta Ernest Mwita Kiaro na kumwambia msala uliopo, ambapo Kiaro akaomba appointment na rais Mkapa na kumpa mkanda jinsi hali inavyofukuta jeshini. Ndipo Mkapa akalazimika kumwambia Mboma ule mpango wa kustaafu naye inabidi usitishwe na kumtaka ajiandae kustaafu mwaka unaofuata
 
Back
Top Bottom