Hii kauli ya Makamu wa Rais ina maana gani?

Wanajeshi wenyewe wameridhika wengi vitambi vitupu, hamna jeshi hapa
Ukiwaona wembamba hao ujue ni kuruta mpya na muda si mrefu anachomoa kazi na kurudi kitaa...
Maana hata vyeo vya kukupa kitambi ni mishimise...
Umeshajaribu kwenda kupitia kozi hata moja?
Si kweli eti wanajeshi wote ni vitambi. Wako wachache sana..
Na hata walionacho si ugonjwa.. si kwamba eti wanashindwa kufanya kazi zao za kila siku.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom