M mbatia mnzava Member Jul 1, 2011 27 3 Sep 16, 2011 #1 jamaa kamtumia msela wake msg inayosema hivi:Niko na mchina hapa anabisha eti Tz hamna nyani hebu tuma picha yako ndio ataamini kwel Tz kuna nyani!!
jamaa kamtumia msela wake msg inayosema hivi:Niko na mchina hapa anabisha eti Tz hamna nyani hebu tuma picha yako ndio ataamini kwel Tz kuna nyani!!
deadteja JF-Expert Member Aug 8, 2011 379 84 Sep 17, 2011 #2 Loh, huyo msh'kaji wake ndo yule waziri wa nini sijui au?
Jeji JF-Expert Member Jun 28, 2011 1,975 371 Sep 17, 2011 #5 siku tukikutana na mshikaji lazima tuzichape kavukavu.
mikatabafeki JF-Expert Member Dec 29, 2010 12,772 4,642 Sep 17, 2011 #6 aiseeehhh..................nani ssa atume picha Wassira ama?