Hii kali pia hahahaha

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Jamaa tratiiiiiiibu na mbuzi wake

5169_93029886900_513241900_2455146_3046544_n.jpg
 
Angeenda na baiskeli tu, mbuzi angeibiwa!Angemkokota mbuzi , baiskeli yake ingechukuliwa na mjanja!Bora lawama kuliko fedheha, msafiri kafiri bana!
 
Huyo jamaa katika avatar yako anatafuta nini kwenye Ikulu ya bibi harusi ?
 
ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Du huyu Masawee nini? Yaani watu wana hasira hapa ofisini mi nabwatuka tu bwa bwa bwaaaaaaaaaaaa na kikohozi tu. Du jamaa mtambo kwelikweli
 
Huyo jamaa katika avatar yako anatafuta nini kwenye Ikulu ya bibi harusi ?
...Huenda uvumilivu umemshinda ameamu kuingia chumvini si unaona hata bibi harusi ametoa ushirikiano kamguu amekasogeza kando!! Tehhh! teeehhh! teeehhhhhhhhh!!!!!!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom