Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,059
Ingekuwa Bongo uyo mtu angedumbukizwa kwenye Pipa la Sulphur concord
Wewe ndiyo uelewWewe unaonekana hata humjui 50 cent
Shukran mkuu, kwa ajili ya wale ambao hatukuiona wala kuisikia hiyoWala hamna Cha kushabikia Hapo manake hata Mtoto Mdogo anajua ni Photoshop.....
Ila Hii ni Baada ya Kanye West (Black) Kutweet Hadh:arani kuwa anamuunga mkono Trump na kuonesha Kofia ya MAGA Iliyosainiwa Na Trump...
Hapo kwa Mwenye Akili Timamu anaelewa 50 cent na Wenzake hawakufurahishwa
Si kwa serikali hii, nakumbuka press comference moja prezidaa alimwambia masoud...Kwani katiba yetu Mzee haina kipengele cha utani
Kwanza huyu sio 50 Cent, ni Kanye West.
Pole sana mkuuHuyo si 50 ni kanye west..by the way ya wamarekani waachie wamarekani, hiyo ni dunia ya kwanza.
Angalia aliyepost picha sio anayeonekana kwenye pichaKwanza huyu sio 50 Cent, ni Kanye West.
.Wewe unaonekana hata humjui 50 cent
Hapo unaitengeneza picha unaenda kuipost kutumia computer ya Internet cafe, kwa account mpya.Ingekuwa Bongo uyo mtu angedumbukizwa kwenye Pipa la Sulphur concord
Internet cafe zina cctv camera usidhani kama upo safe ukiwa muleHapo unaitengeneza picha unaenda kuipost kutumia computer ya Internet cafe, kwa account mpya.
Hakuna pa kukutafutia
Imepostiwa na centHuyo si 50 ni kanye west..by the way ya wamarekani waachie wamarekani, hiyo ni dunia ya kwanza.