Hii ingekuwa Bongo, msanii 50 Cent adhabu gani ingemfaa?

livafan

JF-Expert Member
Oct 20, 2016
2,925
5,528
Wamarekani huu Uhuru wao niwa PHD.

IMG_20180427_203623_996.jpg
 
Huyo ni kanye West siyo 50 cent
Huku kwetu hatuna nafasi na huo ujinga.
 
Huku hairuhusiwi. Wasiojulikana wangekutana naye. Na also ni tabia chafu! Kama kuiga ndio huko tusiige. Na siku mkiiga Dr Magu atafunga mimatandao yote. Na hapo nitamuunga mkono na mguu. Fikiria ni baba ako kawekwa hapo au we we mwenyewe!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom