Kwanza nkupe jibu unalotakiwa kupewa mapenzi sio upofu kamweeee pili mimi mwanmke niliyenae nampenda sn ila simuamini yaan nmempa km 70% hv nlichojifunza nkwmba mda mwingi unkua unWaza kuachana nae tu hs ukigundua ht kitu simple una kiwazia vby inarudisha mapenzi nyuma smtm ila ni possible