afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,297
- 2,780
simple silazimishi aniamini...kama yutayari lets go kama ana mashaka basi aangalie kwingineHabari wana JF
Naomba tujadili hili swala wadau.
Hivi inawezekana kumpenda mtu halafu usimuamini kabisa?
Upo kwenye mahusiano na binti/mwanaume yoyote. Anadai anakupenda ila hakuamini. Hayo yote anayasema wazi kabisa bila kuficha chochote. Tena anakwambia ile uso kwa USO
Hii imekaaje wadau?
Nawasilisha
ninjia bora mashaka sikitu kizuriNi kweli kabisa. Hakuna kitu kibaya kama kuwa na mashaka MTU haniamini bora nikae pembeni tu
Ok,Unaweza penda mtu kwa sura,makalio,alivyovaa n.k lakini kumwamini huja baadae ndo maana wahubiri kila siku wanahubiri ili kujenga Imani mioyoni mwa watu.kwa kuongeza tu Ili mtu umwamini it need more time,ila unaweza kumpenda mtu kwa siku moja tu!Fafanua kidogo
Nimekupata sana. Matendo pia yafanya kuamini au kutokuaminiOk,Unaweza penda mtu kwa sura,makalio,alivyovaa n.k lakini kumwamini huja baadae ndo maana wahubiri kila siku wanahubiri ili kujenga Imani mioyoni mwa watu.kwa kuongeza tu Ili mtu umwamini it need more time,ila unaweza kumpenda mtu kwa siku moja tu!
Inawezekana mkuu. Kwanza lazima ujue kuwa sio kila umpendae utakua nayeHabari wana JF
Naomba tujadili hili swala wadau.
Hivi inawezekana kumpenda mtu halafu usimuamini kabisa?
Upo kwenye mahusiano na binti/mwanaume yoyote. Anadai anakupenda ila hakuamini. Hayo yote anayasema wazi kabisa bila kuficha chochote. Tena anakwambia ile uso kwa USO
Hii imekaaje wadau?
Nawasilisha
Rubii kule ulisema wew mjane na utaletewa zawad cku ya v.day[emoji18] [emoji18]Ndio inawezekana!
Hata mimi nampenda sana lakini simuamini hata kidogo!
Rubii kule ulisema wew mjane na utaletewa zawad cku ya v.day[emoji18] [emoji18]