Hii inawezakana kweli?

Inawezekana.
Kupenda ni suala moja na kuamini ni suala jingine. Imani inatokana na wewe unavyoishi na mwenza wako wakati kupenda ni reflex action.
 
Inawezekana.
Kupenda ni suala moja na kuamini ni suala jingine. Imani inatokana na wewe unavyoishi na mwenza wako wakati kupenda ni reflex action.

ni kweli ila utaendelea kumpenda mtu kwa mda mrefu pasipo kumuaminia au
 
Ndio
Itawezekana, unajua kupenda ni kitu inatokana moyoni yaani ni jinsi unavyojisikia au tusema unavyopata furaha ukiwa na MTU hiyo, wakati imani(kumwamini) inatokana na matendo anayoyafanya machoni mwako
 
sasa hiyo inatokana na sababu uliyoeleza. sasa kwani munaendelea kuwa kwenye mahusiano wakati kila mtu hamuamini mwenzie?
NI UPENDO UNAOFANYA BADO NIPO NAE. KUAMINIANA NI JAMBO PANA SANA KUPENDA UNAPENDA MOYO KUMUAMINI MTU NI JAMBO LINALOTUMIA ZAIDI AKILI. NI NGUMU KUJUA KINACHOUJAZA MOYO WA MTU SO YAWEZEKANA WATU KUPENDANA ILA WAKAKOSA KUAMINIANA.
 
Inawezekana sana kumpenda mtu na usimuamini, ukitaka kujua inawezekana kama una mpenzi unampenda kuliko chochote siku ufume sms ya mchepuko au umkute na mchepuko ndio utajua… uaminifu utashuka mpaka 0 utatamani kumuacha hutaweza maana bado unampenda ila ndio hutamuamini tena
 
NI UPENDO UNAOFANYA BADO NIPO NAE. KUAMINIANA NI JAMBO PANA SANA KUPENDA UNAPENDA MOYO KUMUAMINI MTU NI JAMBO LINALOTUMIA ZAIDI AKILI. NI NGUMU KUJUA KINACHOUJAZA MOYO WA MTU SO YAWEZEKANA WATU KUPENDANA ILA WAKAKOSA KUAMINIANA.

ni kweli kabisa. nimekuelewa ndugu
 
Ndio

Itawezekana, unajua kupenda ni kitu inatokana moyoni yaani ni jinsi unavyojisikia au tusema unavyopata furaha ukiwa na MTU hiyo, wakati imani(kumwamini) inatokana na matendo anayoyafanya machoni mwako

asante kwa maelezo yako.
 

kwa sababu hiyo lazima huaminifu upungue. ila kumpenda utakuwa unampenda ila ile imani ndo inapungua.
 
Unampenda mtu halafu huamuani sasa huoni kama unajidanganya au?
Ni hv kuna pendo la aina 3
Mojawapo ni pendo la mapenzi, sasa ukimpenda mtu kimapenzi utamfurahia kumtumia kimapenzi na yeye vilevle.
Kuhusu swala la kumwamn mtu ni la ki akili ambapo lazima yule unayempenda awe mwaminifu, sasa shda inakuja pale anapokosa uamifu hata wa vitu vidogo basi hapo huwezi mwamini kamwe
 
impossible...hapa ni kuibiana tu wala hakuna mapenzi!
 

nashukuru kwa maelezo yako ndugu
 
Inawezekaana kabisa ndo maana unaweza msamehe mtu kakucheat kwa sababu unampenda ila kumuamini humuamini na maisha yanaendelea
 
Sasa km Una mpenda MTU name kila Mara unamfumania,huyo utamuamn jmn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…