Unampenda mtu halafu huamuani sasa huoni kama unajidanganya au?
hapo ndo unajidanganya kuwa unampenda kumbe unajaribu kama unaweza kumpendaKujidanganya ni kumuamini mtu ambae unajua kabisa huyo mtu haaminiki
Hujawahi kusikia mtu kaumizwa na dem af dem anagawa mno lkn jamaa bado anampendaHUWEZI KUMPENDA MTU BILA KUMUAMINI HAKUNA KITU KM HICHO ILI MOYO HUTULIE LAZIMA KWANZA UMUAMINI ULIYE NAE
HUO NDO UWONGO NAMBA 1 KATIKA MAPENZI WATU HUONGOPEANA WAZI WAZI
je inawezekana UMUAMINI MTU arafu usimpende ni ngumu sana 7bu huwezi kumwachia mwanao HOUSEGIRL kutwa nzima wewe ukiwa job
bila kumuamini na kumpenda huyo HG hilo jambo lisingewezekana yaan hayo mambo mawili lazima yawepo
hapo ndo unajidanganya kuwa unampenda kumbe unajaribu kama unaweza kumpenda
hapo anaiongopea nafsi yake kuwa anampenda lkn kiuhalisia upendo hana moyoni imebaki mazoea tu sasa inamuwia vigumu kumuachaHujawahi kusikia mtu kaumizwa na dem af dem anagawa mno lkn jamaa bado anampenda
Xo inamaana anamwamini????
ni selikari yako ya kichwa ndo ipo hvyo unavyoamini ni sawaHayo ni mawazo yako usilazimishe niwe naye namimi... Nampenda sana lakini simuamini hata kidogo!
Acha kukariri mkuu.ni selikari yako ya kichwa ndo ipo hvyo unavyoamini ni sawa
na unapozungumzia jambo kama hili ambalo lipo ktk jamii si kama wote wapo hvyo ila kiuhalisia 90% huwa ipo hvyo so inawzekana wewe upo nje ya hao hvyo HII ni RAI yngu tu haijathibitishwa KISAYANSI km ndo sheria
Ila ukweli upo HIVYO .
ni selikari yako ya kichwa ndo ipo hvyo unavyoamini ni sawa
na unapozungumzia jambo kama hili ambalo lipo ktk jamii si kama wote wapo hvyo ila kiuhalisia 90% huwa ipo hvyo so inawzekana wewe upo nje ya hao hvyo HII ni RAI yngu tu haijathibitishwa KISAYANSI km ndo sheria
Ila ukweli upo HIVYO .