Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,578
Halafu nyie wadada huwa mnaniudhi sana...
Haswa nyie mnaopenda sana fedha na kujionesha kuliko kuonesha mapenzi ya dhati...
Mnavifanya hivyo vitobo vyenu mali sana eenh, kila anayetaka kupekecha nyie mwampa tu kisa ana hela...
Mnajidhalilisha tu, siachi kuwafananisha na KINU mtama mwatwanga, kisamvu mwatwanga, karanga mwatwanga....
Watu wazima hovyoooo, msione mwanaume ana pesa mshaanza mwandama kama nzi na kimba kichakani!!
.......Mtukome.......
Na Bado,.............. Mmezidi sana kutuonea nyie mijanaume.
Sasa mnataka hizo pesa zenu mkatumie na nani!!!!1
Weka Mshahara Mezani ili tuutumbue.