hii inakuaje?

Hebu tudiscuss hii bajeti

Unampeleka lodge, may be 30,000
Unakod taksi, au unaweka mafuta ya 20000
Ukifika mnaagiza misosi (minimum chips kuku) 20000
Mnapiga 1 moto, 1 baridi 12000
Mnafanya mambo, asubuhi, au mkimaliza unamchapa per diem yake 30000 (minimum)
Unamkodishia teksi tena kurudi kwao 10000

Jumla 122,000/=

Unakuwa umepiga bao mbili!

Hii ni sawa na 61,000 kwa kila bao!

Kwa mtaji huu kama nina geto... huniambii kitu sijui tutoke, never

Mkuu wewe mchumi nini
 
thanx guys,,. ila nikisema kwake cmaanishi ndo nyumban no,.. anaish temporarly 2 na friends afta a year anasepa kwao ni mkoa.,,
 
Hebu tudiscuss hii bajeti

Unampeleka lodge, may be 30,000
Unakod taksi, au unaweka mafuta ya 20000
Ukifika mnaagiza misosi (minimum chips kuku) 20000
Mnapiga 1 moto, 1 baridi 12000
Mnafanya mambo, asubuhi, au mkimaliza unamchapa per diem yake 30000 (minimum)
Unamkodishia teksi tena kurudi kwao 10000

Jumla 122,000/=

Unakuwa umepiga bao mbili!

Hii ni sawa na 61,000 kwa kila bao!

Kwa mtaji huu kama nina geto... huniambii kitu sijui tutoke, never

Mkuu umesahau na durex 4,000
jumla 126,000.-
 
thanx guys,,. Ila nikisema kwake cmaanishi ndo nyumban no,.. Anaish temporarly 2 na friends afta a year anasepa kwao ni mkoa.,,
kumbe ni chimbo tu basi hapo unadanganyika shosti
 
ha ha ha ,,.. nikisema outn cmaanishi nataka vyote hvyo no,.. npo tayar kama ni dala dala 2napanda tena hata nauli ntalipa mm cpend kuwa dependent kwake kwan bado hatujaoana,.. wat i needed ni jst kurefresh me na yy 2,.. wala vi2 vingne havihucki hapo. nw nimepata point alikuwa anaogopa gharama wakat mm nilikuwa chitaj hvyo vyote,..
 
unakuwa na mahusiano na m2, umemtembelea mara mbili anapoishi, den akikwambia amekumis still anataka uende kwake, ukimwambia twende sehemu nyingne hatak anataka kwake, sasa is he right ukikataa anakasirika anadai unawanaume wengine,.. hii inakuaje? is he in love au interested in other thngs? au anaogopa watu?

Bila shaka kuna kitu kutoka kwake ambacho unajaribu kukia-ovid but yeye anajitahidi kukivuta. Sasa hapo bibie akili kumkichwa ukimuendekeza imekula kwako!
 
ha ha ha ,,.. nikisema outn cmaanishi nataka vyote hvyo no,.. npo tayar kama ni dala dala 2napanda tena hata nauli ntalipa mm cpend kuwa dependent kwake kwan bado hatujaoana,.. wat i needed ni jst kurefresh me na yy 2,.. wala vi2 vingne havihucki hapo. nw nimepata point alikuwa anaogopa gharama wakat mm nilikuwa chitaj hvyo vyote,..

Umeonae...

Kidume kumbe anabana geto kwa washkaji, alaf we unaleta za outng!

Vumilia bana, cku c nyingi nae atakamata ofc ya kifisadi, na mtakula sana raha kwa kodi zetu waTZ
 
ha ha ha ,,.. nikisema outn cmaanishi nataka vyote hvyo no,.. npo tayar kama ni dala dala 2napanda tena hata nauli ntalipa mm cpend kuwa dependent kwake kwan bado hatujaoana,.. wat i needed ni jst kurefresh me na yy 2,.. wala vi2 vingne havihucki hapo. nw nimepata point alikuwa anaogopa gharama wakat mm nilikuwa chitaj hvyo vyote,..

Wala sio kwamba anaogopa gharama my dia, huyo kukuitia kwake anataka ale mzigo tu hana lolote hapo so akili kumkichwa.
 
Wala sio kwamba anaogopa gharama my dia, huyo kukuitia kwake anataka ale mzigo tu hana lolote hapo so akili kumkichwa.

Ye ni mwanaume na kunku ni mwanamke. Kwani alitakiwa awe tena na lolote lipi?
 
Hizo sehemu nyingine anazo kataa ni zipi? inawezekana ndo mambo anayosema Tuko, gharama mara mia 7. Propose ka sehemu ambako kametulia na hakana garama uone. Hiyo haina uhusiano na kama anakupenda au la
 
.....kwan huko kwingine anakotaka apelekwe anafikiri kuna jipya zaidi ya toboa toboo?
 
Back
Top Bottom