Hii inaitwa Mwana Ukome

Hii inaitwa Mwana Ukome

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,132
Reaction score
10,514
Kuna watu ni Masters wa kupika huko Twitter, na huyu kijana amepata jibu mubashara. Kulinganisha ubora wa CNN ama BBC na ubora wa ITV ama TBC.
1763896840678.jpg
 
Ngumu kumeza hii. Kwenye dunia hii ya utandawazi, kujitokeza hadharani na kuvilalamikia vyombo vya habari vya nje kwenye taarifa zenye ukweli wa 💯%, nadhani ni upopoma wa kiwango cha juu sana.
 
Bado nawqza huyo mwamba aliyetoa jibu kwa kuuliza swali, ilikuaje akawafikiria awe na hiyo ID...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom