Hii ina maana gani kwenye mahusiano?

Hii ina maana gani kwenye mahusiano?

Ukweli mchungu kuhusu ndoto ni kwamba haiji ili uepuke ulichokiota mkuu..

Bali inakusanua ujiandae kukabiliana na yajayo hakuna namna utaweza kukiepuka ulichokiota..

Kama huamini niulize mimi man,, mpaka leo hii bado nayaona yale mashetani,,
Japo nimekomaa sana kiakili lakini kuna muda huwa naogopa halafu naogopa tena kwa kushangaa eti hadi mimi nimeogopa basi hii ni hatari..

Kwa nature yangu huwa najiamini sana na nina ujasiri wa kulala miezi ndani ya nyumba yenye mashetani kati kati ya mapori lakini nikikumbuka ile ndoto na matokeo yake huwa natingishika.sana
So na mimi huwa naogopa eti..

Even monsters do get scared, yes it's true. We do get scared.
Tafadhari utueleze vizuri ww uliotaje??👿
 
Niliona maji ni mafupi baharini, hapo niko na watu kadhaa ninaowafahamu japo siwakumbuki kwa sura
Lakini atmosphere ni kwamba tunajuana vyema..
Nikarukia baharini kuogelea kufuata kitu ambacho niliona kina thamani kwangu..
Matokeo yake nikakutana na mkondo kama wa Nungwi wakati mwanzo nikiwa juu niliona hadi mchanga wa bahari kwa chini ila nilipojitumbukiza tu Bahari ilinibadilikia kuonesha kuwa mimi na bahari hatutakiwi kuchanganyikana kamwe.
Huko juu niliweza kuzisikia sauti za watu wangu zingine zikidai iletwe kamba idumbukizwe kwenye lile duara la maji kwamba mwamba mpaka hapa bado ni mzima anapambana sana huko chini,, hawezi kuwa ameshakufa.
Sauti zingine zinadai hakuna haja kutumbukiza kamba waniache tu nishakufa na hata kama naangamia basi nimejirusha mwenyewe sistahili huruma..
Baada ya hiyo ndoto kuna biashara nilikuwa nahitaji kuianza ila nilikuwa nasubiri pesa ilipwe na mtu fulani
Kutokana na mikataba yangu..
Aisee nilogopa nikabadili na wazo la biashara,, kweli pesa ilitoka ila pamoja na kubadili wazo la biashara bado hatma iliendelea kuniwinda na mwisho niliwekeza pesa zote zikamezwa na haikuwahi kurudi hata 50k kutoka kwenye ile biashara..Ilifikia hatua nikawa naomba hadi ten ya kula kwa watu wananishangaa wengine wanadhani nimeamua kuwakejeli kabisa wanazima na simu..
Waliokuwa na imani kidogo walikuwa wananipa 50k nara 40 mara 20.

Sitaki kuikumbuka ile ndoto na matokeo yake..
 
Salam wadau,

Mwezi wa pili mwanzoni kuna binti niliona bora tu ahamie getoni kwangu tuishi kama mke na mume japokuwa bado sijajitambulisha kwao lakini wazazi wake wananifahamu!!!

Lengo langu nilipanga mwezi wa kumi nikajitambulishe na ikiwezekana nimalize kila kitu hasa mahali awe mke rasmi!!

Utata upo hapa, kwa kawaida sina mazoea ya kuota ndoto lkn nashangaa kuna ndoto inajirudia, leo ni mara ya tatu naota kuna ndege anajenga kiota kwenye mti uliokauka ambao ushaanza kuoza imenifikirisha sana je hii ina maana gani? Na kwa kawaida ndege huwa hawaweki viota kwenye miti iliyokauka?!

Je ina maana naweka mipango ya ndoa kwa mtu asiye sahihi??

Mwenye uelewa anisaidie tafadhari!
Ndoto haina maana yoyote, ni kumbukumbu tu ambazo zinakua akilini wakati ubongo umepumzika
 
Niliona maji ni mafupi baharini, hapo niko na watu kadhaa ninaowafahamu japo siwakumbuki kwa sura
Lakini atmosphere ni kwamba tunajuana vyema..
Nikarukia baharini kuogelea kufuata kitu ambacho niliona kina thamani kwangu..
Matokeo yake nikakutana na mkondo kama wa Nungwi wakati mwanzo nikiwa juu niliona hadi mchanga wa bahari kwa chini ila nilipojitumbukiza tu Bahari ilinibadilikia kuonesha kuwa mimi na bahari hatutakiwi kuchanganyikana kamwe.
Huko juu niliweza kuzisikia sauti za watu wangu zingine zikidai iletwe kamba idumbukizwe kwenye lile duara la maji kwamba mwamba mpaka hapa bado ni mzima anapambana sana huko chini,, hawezi kuwa ameshakufa.
Sauti zingine zinadai hakuna haja kutumbukiza kamba waniache tu nishakufa na hata kama naangamia basi nimejirusha mwenyewe sistahili huruma..
Baada ya hiyo ndoto kuna biashara nilikuwa nahitaji kuianza ila nilikuwa nasubiri pesa ilipwe na mtu fulani
Kutokana na mikataba yangu..
Aisee nilogopa nikabadili na wazo la biashara,, kweli pesa ilitoka ila pamoja na kubadili wazo la biashara bado hatma iliendelea kuniwinda na mwisho niliwekeza pesa zote zikamezwa na haikuwahi kurudi hata 50k kutoka kwenye ile biashara..Ilifikia hatua nikawa naomba hadi ten ya kula kwa watu wananishangaa wengine wanadhani nimeamua kuwakejeli kabisa wanazima na simu..
Waliokuwa na imani kidogo walikuwa wananipa 50k nara 40 mara 20.

Sitaki kuikumbuka ile ndoto na matokeo yake..
Aisee kumbe ndoto sio za kuzipuuza kabisa kwa kweli!!👿
 
Kwanini unahisi ndoto yako inahusiana na yeye?
Huoni inaweza husu utafutaji wako? Au kitu kingine ? Utaacha mke kisa kumuhusisha na vitu visivyo eleweka
 
ndo maana nikaileta hii ishu jukwaani kupata mawili matatu manake inanichanganya aisee!!👿
 
Back
Top Bottom