Hii ina maana gani kwenye mahusiano?

Hii ina maana gani kwenye mahusiano?

Alikwambia ukitoa mahari anakuwa mke rasmi ni nan?
Pili ndoto yako iko uchi sana,
Fuatilia historia ya ukoo wa kwake waweza pata kitu, hasa ukikuta kuna asili ya waganga kimbia,
Asante.
Si wengine wapagani ndoa hatujali saana kikubwa nikilipa mahali nikajulikana kwao gemu linakuwa limeisha👿
 
Mti mbichi maana yake ni ustawi,uhai maisha,kufanikiwa.
Kiota maana yake:,familia ,uzazi,makazi"
Ndege maana yake inawakilisha binadamu.
Kuoza maana yake ni ugonjwa,uharibifu,
Kukauka kwa mti ndio kifo chake mkuu.kwa maana mti ukikauka ndio umekufa hauna uhai tena.hapa naweza kupata tafsiri kuwa mbili moja ni kuwa huyo kaja kwako kwenye mti kujificha kivulini lakini kwa bahati mbaya ni kuwa Kuna changamoto itakayopelekea mafanikio yako kufa na kimsingi hyo changamoto ilishakuwepo (siyo jambo jipya).tafsiri ya pili ni kuwa wewe unachangamoto ya ugonjwa iliyopo na itakayopelekea wewe mwenyewe kufa.kwa kuwa ndoto hii imetokea mara tatu jambo Hilo litatokea kwenye utimilifu wake haraka.kwa hyo Kuna mambo mawili yanayoweza kukupata,mafanikio na uchumi wako kufa kabisa ama wewe mwenyewe kufa.take care.
Lakini bosi unanitisha ujue👿
 
Mungu siyo Juma Athumani kwamba anaweza kusitisha kuongea na wewe kwasababu unatenda dhambi, katika Hali zote Mungu ataendelea kukuvuta kwa kamba ya upendo Hadi pale atakapojiridhisha amekusanua vya kutosha lakini ukakaza misuli ya kichwa. Akimrudisha na kubadiri njia anaweza kumsaidia. Kinachotakiwa awe mnyenyekevu na Toba ya kweli.
👏nashukuru sana kwa ushauri👿
 
Mwanzoni sikutaka aje aishi kwangu, baada ya kuona kaanza migogoro mara "ooh!! Hauna malengo na mimi unanichezea tu.." nikaona isiwe kesi nikamwambia sogea tuishi wote akaja
Ni kama anakuweza ana nguvu kubwa ya ushawishi kwako, ila sio kesi maana mambo ya wawili wanaovuana nguo kuyaingilia ni kisanga.

Ndoto ni ndoto tu usiziweke akili sana.
 
Chat GPT
 

Attachments

  • Screenshot_20250327_095150_Chrome.jpg
    Screenshot_20250327_095150_Chrome.jpg
    254.7 KB · Views: 22
Mkuu uko nje ya utaratibu, huwezi ishi na mtoto wa mtu kwa makubaliano ya nyie wawili
Nilimwambia abaki kwao akasema mm sina malengo naye kama na malengo naye basi aje niakasema poa uje!!!👿
 
Aisee!!👿
Ukweli mchungu kuhusu ndoto ni kwamba haiji ili uepuke ulichokiota mkuu..

Bali inakusanua ujiandae kukabiliana na yajayo hakuna namna utaweza kukiepuka ulichokiota..

Kama huamini niulize mimi man,, mpaka leo hii bado nayaona yale mashetani,,
Japo nimekomaa sana kiakili lakini kuna muda huwa naogopa halafu naogopa tena kwa kushangaa eti hadi mimi nimeogopa basi hii ni hatari..

Kwa nature yangu huwa najiamini sana na nina ujasiri wa kulala miezi ndani ya nyumba yenye mashetani kati kati ya mapori lakini nikikumbuka ile ndoto na matokeo yake huwa natingishika.sana
So na mimi huwa naogopa eti..

Even monsters do get scared, yes it's true. We do get scared.
 
Back
Top Bottom