Hii imewahi kukukuta ?

Hii imewahi kukukuta ?

Nimeshuka kwenye daladala pale masaki daladala zinapogeukia nikajisemea ngoja niende huku mbele nadhani beach haipo mbali nikapoteze muda jioni niende kwenye mambo yangu
Nimetembeaaa mbele kidogo nikaona wajomba wa kofia nyekunde kama wawili hivi na mmoja kavaa kisela wako na mashine kila mtu

Barabara imetulia haina mtu ni mimi tu nikawa na wasiwasi nikajisemea hapa nikirudi nitakuwa nimeharibu ngoja niendelee kwenda

Wakati huo napita upande mwingine tofauti na upande ule waliokuwa mapalianda
Nikawavalia sijawapa hi wala nini
Na wao wanaendelea na stori tu hawana habari na Mimi wala nini

Nimetembea kama mita 20 ile Barabara ina kama kijikona hivi
Naanza kuona mjiwe umeandikwa jw ngapi ngapi sijui naona geti nikachoka nikajua nishayavagaa nikaanza kurudi nawawaza wale wazee wa kazi pale itakuwaje

Nilivyokaribia kuwafikia, wamekatisha stories zao naskia hey
Vua kofia toa kila kitu weka chini geuka ulikotoka mikono juu
 
Kama nmepotea siulizi tena maana najua ntajikarahisha kwa majibu nitakayopata.
Ila mie hata mtu akinipita bila salamu then arudi kuulizia njia au chochote namwelekeza bila kinyongo.
 
Nimeshuka kwenye daladala pale masaki daladala zinapogeukia nikajisemea ngoja niende huku mbele nadhani beach haipo mbali nikapoteze muda jioni niende kwenye mambo yangu
Nimetembeaaa mbele kidogo nikaona wajomba wa kofia nyekunde kama wawili hivi na mmoja kavaa kisela wako na mashine kila mtu

Barabara imetulia haina mtu ni mimi tu nikawa na wasiwasi nikajisemea hapa nikirudi nitakuwa nimeharibu ngoja niendelee kwenda

Wakati huo napita upande mwingine tofauti na upande ule waliokuwa mapalianda
Nikawavalia sijawapa hi wala nini
Na wao wanaendelea na stori tu hawana habari na Mimi wala nini

Nimetembea kama mita 20 ile Barabara ina kama kijikona hivi
Naanza kuona mjiwe umeandikwa jw ngapi ngapi sijui naona geti nikachoka nikajua nishayavagaa nikaanza kurudi nawawaza wale wazee wa kazi pale itakuwaje

Nilivyokaribia kuwafikia, wamekatisha stories zao naskia hey
Vua kofia toa kila kitu weka chini geuka ulikotoka mikono juu
Malizia stori mkuu
 
Naamini walikusaidia kukupotezea muda kama uliyokuwa ukihitaj mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kusalimiana ni ustaarabu wetu,so lazima tukushangae kuona wewe unatupita tu bila hi
 
Haa ha ha.. Ilinikuta Bank kwenye ATM bhana nimefika nikapitiliza kutoa pesa direct bila kumsalimia yule Mlinzi wa pale sasa nikatoa nashangaa pesa hazitoki kumbe ile mashine inazingua...nikaenda nyingne nayo hivyo hivyoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamaa akasema muwe mnasalimia mkifika hapa sisi sio magogo..
Hahahahaa Mimi nilirudi nikawaambia walinzi "samahani leo kuna tatizo nini? Wakanijibu tumia hiyo nyingine, nikawashukuru pia nikawaomba samahani kwa kupita bila kusalimia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora wewe ulijibiwa bila Kupewa z a usoo... Me nilichambwa kwanza balaa
 
Mkuu mara nyingi kubali kosa, tanguliza samahani kwa muungwana atakuelewa tu
 
Haa ha ha.. Ilinikuta Bank kwenye ATM bhana nimefika nikapitiliza kutoa pesa direct bila kumsalimia yule Mlinzi wa pale sasa nikatoa nashangaa pesa hazitoki kumbe ile mashine inazingua...nikaenda nyingne nayo hivyo hivyoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamaa akasema muwe mnasalimia mkifika hapa sisi sio magogo..
Huja malizia.afu hela ndo ikatoka!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom