Matches 3 kadi 3 Nyekundu kwa Simba

Matches 3 kadi 3 Nyekundu kwa Simba

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,615
Reaction score
32,110
Hii nadhani ni record sijajua kama imewahi fikiwa hapo before. Na hii itaendelea kwa matches zote zilizobaki maana nyie Simba ndo mlitaka sana VAR sasa imekuja hii.... Lazima moto uwake.

Referee akienda tu kuangalia akirudi ni Kadi ya Simba. Yaani Kadi Nyekundu.
 
Lakini kwanini refa hakwenda kuangalia ile penalty aliyowazawadia simba badala yake kaenda kujadiliana na wale viongozi waliokua pale ile kadi nyekundu kaitoa ili kubalance makosa yake.
 
Hii nadhani ni record sijajua kama imewahi fikiwa hapo before. Na hii itaendelea kwa matches zote zilizobaki maana nyie Simba ndo mlitaka sana VAR sasa imekuja hii.... Lazima moto uwake.

Referee akienda tu kuangalia akirudi ni Kadi ya Simba. Yaani Kadi Nyekundu.
Hakuna shida, kama red card zinaleta ushindi wa ugenini, basi ziendelee tu kutolewa ili mradi tupate ushindi.
 
Nafurahi sana maana kwa muda mrefu Simba wamekuwa wanufaika na makosa ya marefa. Acha wakipate!
 
Unayefurahia kadi nyekundu wanazopewa Simba nawakumbusha TU shilingi inapande mbili!!!! Msisahau tafadhali wakuu, ni hayo TU.
 
Back
Top Bottom