Hii imewahi kukukuta ?

Hii imewahi kukukuta ?

Basi Nenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
20,795
Reaction score
48,057
1113171
 
Yani unipite kama kisiki ,upotee ndio unione na mimi nikukenulie majino?dawa ya moto no moto
 
Hata mimi huwezi nipita kiboya alafu ujirudi unisalimie.. Lazima nitakuelekeza jinsi ya kuishi na watu..

Ni bora ata upunge mkono
 
Haa ha ha.. Ilinikuta Bank kwenye ATM bhana nimefika nikapitiliza kutoa pesa direct bila kumsalimia yule Mlinzi wa pale sasa nikatoa nashangaa pesa hazitoki kumbe ile mashine inazingua...nikaenda nyingne nayo hivyo hivyoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamaa akasema muwe mnasalimia mkifika hapa sisi sio magogo..
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Haa ha ha.. Ilinikuta Bank kwenye ATM bhana nimefika nikapitiliza kutoa pesa direct bila kumsalimia yule Mlinzi wa pale sasa nikatoa nashangaa pesa hazitoki kumbe ile mashine inazingua...nikaenda nyingne nayo hivyo hivyoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamaa akasema muwe mnasalimia mkifika hapa sisi sio magogo..
[emoji23][emoji23][emoji23] na wewe ulizidi, unampita mtu aliyekaa hapohapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom