Hii imewahi kukukuta ?

Hii imewahi kukukuta ?

[emoji23][emoji23][emoji23] na wewe ulizidi, unampita mtu aliyekaa hapohapo
Yani acha tu mkuu...[emoji23][emoji23][emoji23] Sasa sijui kila anaeenda pale akimsalimia si atachoka sanaa hasa mwisho wa mwezii[emoji119][emoji119]
 
Haa ha ha.. Ilinikuta Bank kwenye ATM bhana nimefika nikapitiliza kutoa pesa direct bila kumsalimia yule Mlinzi wa pale sasa nikatoa nashangaa pesa hazitoki kumbe ile mashine inazingua...nikaenda nyingne nayo hivyo hivyoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamaa akasema muwe mnasalimia mkifika hapa sisi sio magogo..
hapo utaona aibu balaaa
 
Imeshanikuta mara kadhaa, nilirudi nilikotoka bila kusalimia wala kuuliza njia.
 
Hahaha
Haa ha ha.. Ilinikuta Bank kwenye ATM bhana nimefika nikapitiliza kutoa pesa direct bila kumsalimia yule Mlinzi wa pale sasa nikatoa nashangaa pesa hazitoki kumbe ile mashine inazingua...nikaenda nyingne nayo hivyo hivyoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamaa akasema muwe mnasalimia mkifika hapa sisi sio magogo..
 
Mimi haijawahi Nikuta ila niliwahi mfanyia kijana mmoja hivi hadi Leo akiniona anajichekesha
 
minakuelekeza kiroho safi ila ntakupoteza tu,,
kama utaki salamu si utumie gps acha kuniuliza maswali,,
 
Mimi kusalimiana napenda sana hivyo hayajanikuta hata siku moja badala yake nimepata marafiki wengi hata wewe ukija utakuwa rafiki yangu
 
kweli mkuu, kusalimia watu sana ina faida, utapata na marafiki wa kweli, pia ina hasara utaonekana unajipendekeza
 
Mimi kusalimiana napenda sana hivyo hayajanikuta hata siku moja badala yake nimepata marafiki wengi hata wewe ukija utakuwa rafiki yangu
Salamu peke yake haiwezi kumfanya mtu awe rafiki yako.

Si kila mtu anafaa au anaweza kuwa rafiki yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom