Wapi imewahi kutokea hii?

Wapi imewahi kutokea hii?

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,976
Reaction score
142,215
CCM wa siku hizi hawana akili kabisa.

Eti walishinda uchaguzi kwa 98% na kupata kura milioni 31 kati ya milioni 32 [jambo ambalo ni la uongo] zilizopigwa!

Hata mwaka haujapita, wameshaanza kufukuzana, kuvuana uanachama, na hata kutekana na kuuana.

Mimi sijawahi kuona wala kusikia mahali popote pale ambapo washindi wameshinda uchaguzi kwa kiwango hicho , kwa mandate kubwa kuwahi kutokea katika historia ya chaguzi duniani, halafu wanaishia kugombana ndani ya niezi michache tu tokea wajitangazie ushindi wao.

Washindi wa kiwango kama hicho cha kwao mtu ulitegemea wawe ni watu wenye furaha tele, wenye tabasamu na bashasha tele huku wakiendelea kutekeleza ilani ya chama chao.

Labda hawa wenzetu ni fantasists!

Ukweli ni kwamba sasa hivi hawaaminiki tena kwa wananchi.

Wapo wapo tu kama kuku aliyekatwa kichwa.

Otherwise, make it make sense.

Umewahi kuona wapi washindi wa 98% ambao huishia kugombana ndani ya miezi michache namna hiyo tokea huo ushindi wao mkubwa……
 
Attachments

  • 1000059788.jpg
    1000059788.jpg
    17.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom