Hii imekaeje?

Hii imekaeje?

........................Wilbert1974................nina BLUETOOTH pia, WIRELESS na hata SHEMEJI achilia mbali hiyo WIFI...............................,
Nimekukubali mkuu MWENZETU...
 
mxcpa.baa-The-most-common-cause-of-ins.jpg

Umeona eeh...
 
mxcpa.baa-In-the-elevator-for-mathemat.jpg

Hii ikiwekwa mjengo mmoja mrefu hapo uswazi, najua wengi wataishia kupanda ngazi kila siku tu!
 
mxcpa.baa-Its-a-boy.jpg

Ni rahisi eeh...
Hebu otea huyu ni wa jinsia gani?
 
Katika hii dunia vibweka haviishi sisi ndio tunaisha.
 
nadhani huyo asiye na nguo ya juu!!!wale wawili wanaonekana kujadili namna ya kupumzika lkn yeye yuko serious na zoezi!!!
 
Mbabe huyo alichukua space ndogo kufanya zoezi

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Saa nyingine umelala ukishtuka yuko chini ya kwapa mpaka wajiuliza kafikaje?
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Back
Top Bottom