Hii imekaeje?

Hii imekaeje?

Naona binti yuko bize kuchukua kozi,kwani vipi anaogopa maambukizi ya mimba au.......
 
Yanga wakifikia huku ushabiki hakuna tena............
 
Sasa wanaofanya kazi humo au kuishi humo si full kizunguzungu jamani
 
Tatizo ni kuamini JF inatembelewa na watu wazima pekee! Tubadilike kidogo!
 
Dah, mimi ni mtu mzima, lakini nimeipenda, sio lazima atoe Kipanya ndio mumpe sifa.
 
Watanzania ndivyo tulivyo. Tafakari kuhusu madini yetu na maliasili nyingine!!!!
 
hahaha tena kala bonge la pozi na hana habar,kwel wifi
 
View attachment 60420

Mambo ya ma-WIFI haya ni nooma...
Ndege wa 3 wanamsema mwenzi wao anayo Wifi yake wakati mbona ndege huyo mmoja hana wifi yake?
wifi-phone-3.jpg

wifi-phone-3.jpg
 
Back
Top Bottom