Hii imekaaje? Wanawake kutongoza Wanaume

Wakiwatongoza wenyewe shida, mkiwatongoza wakiwakataa nako tabuu.

Kazi ipoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwema wadau?

Sasa hivi kumezuka tabia ya wanawake kutongoza Wanaume.

Yani mwanamke akimpenda Mwanaume, anafunguka wazi bila woga kabisa,...Hii imekaaje wadau.

Nimei experience hii hali zaidi ya mara nne tangu January, (Kwangu naona ni kama maajabu sana,....au nina tatizo labda?...au nimetupiwa majini ya mapenzi labda?)

Note: Mimi sio mzinzi,...I mean, siendeshwi na tamaa za Mwili, ; Ninazo nguvu za kuucontrol mwili wangu jinsi ninavyotaka , sio wenyewe unicontrol Mimi. ( Naona ni kama nawaumiza hawa watu kwà kutojali kabisa hisia / maneno yao)
Kuwa mwangalifu wengi wanaotongoza wanaume wanao
 
Wataalamu wanasema majina yetu yana mambo mengi sana. Nakushauri badili jina MzeeKipusa 😂
😂
 
Mimi mwaka huu wamefika wawili kutoa mmoja wa baa maana huyo ni another case.

Mmoja nilimdanganya nina mahusiano akasisitiza nimfanye mchepuko...duh hatari
 
Wakiwatongoza wenyewe shida, mkiwatongoza wakiwakataa nako tabuu.

Kazi ipoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna kina sisi hatujuagi kutongoza ila tunatongozwa 🤣🤣
 
Back
Top Bottom