MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,696
- 4,979
- Thread starter
- #81
Mim hunitokea sana hii hali ila nilishajiwekea mipaka .. ukiona mwanaume unatongozwa na mwanamke ujuwe wewe unaetongozwa una kitu kizuri mwanamke anataka akichukue, akuibie au ajimilikishe iwe kimwili au kiroho hivyo kwa upande wangu mwanamke yeyote duniani akinitongoza si dalili nzuri kwangu na lazima ntamkwepa au ntamchana kwamba simtaki..
Mawazo mazuri sana.Mi nilivyokua mdogo nilikua siamini ila baada ya kukua kwanzia mwaka 2019 nilianza kupigwa matukio ya namna hiyo nikahisi naota
Wawili wa mwanzo niliwakataa maana mimi uhuni siyo mambo yangu badae shetani alinipitia akaniambia nikikataa sana nitaonekana sina nguvu za kiume basi bahati mbaya nikamkubalia mmoja.
ila kwa sasa nimepata uzoefu wa miaka 4 wa kukutana na matukio ya namna hiyo, binafsi sioni kama ni ubaya mtu kuelezea hisia zake kwakua hata sisi wanaume huwa kuna muda tunawaeleza hisia zetu
Kitu cha msingi ninacho zingatia ni kuwatunzia heshima tu huwa inabaki ni Siri yangu na wao sijawahi kuifanya mada mbele ya marafiki zangu, ila hapa jf haina madhara