Mamlukii
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 1,160
- 2,631
Nilishawahi ukanikatalia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lini ulinitongoza nikakataa
Nilishawahi ukanikatalia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lini ulinitongoza nikakataa
Mmmh hapanaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilishawahi ukanikatalia
Kwaiyo unataka kuniambia kwamba watu wote waliokutongoza uliwakubalia.Mmmh hapanaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HapanaaaaKwaiyo unataka kuniambia kwamba watu wote waliokutongoza uliwakubalia.
Hofu ya kukataliwa na mdada Evelyn SaltKutongoza huwa ni raha sana, siwaelewi wanaume ambao huwa hawawezi kutongoza wanashindwaje yani.....
Napenda kutongoza hata kama simaanishi utani tu ila kutongoza raha 🤣🤣🤣 Demi nawe unapenda?Hofu ya kukataliwa na mdada Evelyn Salt
Acha uoga mkuu , chukulia poa ni jambo la kawaidaKwema wadau?
Sasa hivi kumezuka tabia ya wanawake kutongoza Wanaume.
Yani mwanamke akimpenda Mwanaume, anafunguka wazi bila woga kabisa,...Hii imekaaje wadau.
Nimei experience hii hali zaidi ya mara nne tangu January, (Kwangu naona ni kama maajabu sana,....au nina tatizo labda?...au nimetupiwa majini ya mapenzi labda?)
Note: Mimi sio mzinzi,...I mean, siendeshwi na tamaa za Mwili, ; Ninazo nguvu za kuucontrol mwili wangu jinsi ninavyotaka , sio wenyewe unicontrol Mimi. ( Naona ni kama nawaumiza hawa watu kwà kutojali kabisa hisia / maneno yao)
Hamna mwanaume anachomoa tongozo la kike hata kama unatania tuRaha sana kutongoza mwanaume. Halafu wenyewe hata hawakatai... Maharage ya Mbeya maji mara moja tu
Kachelewa kujua mji huyuKaribu mjini ..
Huku mjini hayo mambo yapo toka mwaka 2000...miaka 23 iliyopita...
Utazoea tu
[emoji23][emoji23][emoji23] naona tuna vinasaba vinavyofananaMimi ni maharage ya mbeya mkuu.
Yani nitongozwe na mwanamke alafu nikatae? Thubutuuu!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Raha sana kutongoza mwanaume. Halafu wenyewe hata hawakatai... Maharage ya Mbeya maji mara moja tu
Wavulana ni wengi sana kwenye hii nchiKwema wadau?
Sasa hivi kumezuka tabia ya wanawake kutongoza Wanaume.
Yani mwanamke akimpenda Mwanaume, anafunguka wazi bila woga kabisa,...Hii imekaaje wadau.
Nimei experience hii hali zaidi ya mara nne tangu January, (Kwangu naona ni kama maajabu sana,....au nina tatizo labda?...au nimetupiwa majini ya mapenzi labda?)
Note: Mimi sio mzinzi,...I mean, siendeshwi na tamaa za Mwili, ; Ninazo nguvu za kuucontrol mwili wangu jinsi ninavyotaka , sio wenyewe unicontrol Mimi. ( Naona ni kama nawaumiza hawa watu kwà kutojali kabisa hisia / maneno yao)
Mi Mzee wewe,..Acha uboya!!!Wavulana ni wengi sana kwenye hii nchi