Hii imekaaje? Wanawake kutongoza Wanaume

Unafikiri kwanini alikuwa aqkupiga sound wewe na si mwingine
I dunno!! Huyo mtu alinipigia simu, akajitambulisha kuwa ni mwanafunzi wa IFM, then akaomba kuwa rafiki yangu ...nikamuuliza kama ananifahamu , akasema hanifahamu ...nikamwambia kuwa ni wrong number. Nikamkatia simu.

Baada ya siku kadhaa akanipigia tena,...na kunikumbusha the last conversation...nikamwambia simjui...kisha akaomba nimsikilize...na hapo ndipo akafunguka ...nikamblock immediately baada ya kusikia upuuzi wake.

Then akaendelea kunitafuta kwà namba tofauti tofauti..na kila nilipokua nikisikia sauti yake..nikawa nablock.

Mwisho nikaamua kuwaeleza mates zangu jambo hilo, na kwà bahati nzuri kuna siku alipiga na wao wakiwepo...nikamweka loudspeaker...na hapo ndipo ukawa mwisho wa yeye kunitafuta tena.
 
Kwema wadau?

Sasa hivi kumezuka tabia ya wanawake kutongoza Wanaume.

Yani mwanamke akimpenda Mwanaume, anafunguka wazi bila woga kabisa,...Hii imekaaje wadau.

Nimei experience hii hali zaidi ya mara nne tangu January,... ( Kwangu naona ni kama maajabu sana,....au nina tatizo labda?...au nimetupiwa majini ya mapenzi labda? )

Note: Mimi sio mzinzi,...I mean, siendeshwi na tamaa za Mwili, ; Ninazo nguvu za kuucontrol mwili wangu jinsi ninavyotaka , sio wenyewe unicontrol Mimi. ( Naona ni kama nawaumiza hawa watu kwà kutojali kabisa hisia / maneno yao )
Mkuu shikilia hapo hapo sawaaa................🤓🤓😊😊
 
I dunno!! Huyo mtu alinipigia simu, akajitambulisha kuwa ni mwanafunzi wa IFM, then akaomba kuwa rafiki yangu ...nikamuuliza kama ananifahamu , akasema hanifahamu ...nikamwambia kuwa ni wrong number. Nikamkatia simu.

Baada ya siku kadhaa akanipigia tena,...na kunikumbusha the last conversation...nikamwambia simjui...kisha akaomba nimsikilize...na hapo ndipo akafunguka ...nikamblock immediately baada ya kusikia upuuzi wake.

Then akaendelea kunitafuta kwà namba tofauti tofauti..na kila nilipokua nikisikia sauti yake..nikawa nablock.

Mwisho nikaamua kuwaeleza mates zangu jambo hilo, na kwà bahati nzuri kuna siku alipiga na wao wakiwepo...nikamweka loudspeaker...na hapo ndipo ukawa mwisho wa yeye kunitafuta tena.
Namba yako sasa aliipataje
 
Mtoa mada pamoja na wote wanaotoa ushuhuda wa kutongozwa na wanawake inaonekana sio watu wa mademu yani inawatokea mara kwa mara afu inaangukia kwa watu ambao hawapendi kabsa mademu, hahahaha this is JF....waje wengine watoe ushuhuda wa tofauti, nategemea aje mtu aseme bahati ilimwangukia afu akawanyoosha kwelii kweli, inakuaje wote wanaoangukiwa na hii bahati sio watu wa totoz?! Coincidence or?![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Namba yako sasa aliipataje
Sijui. Hata matapeli huwa sielewi namba yangu huwa wanaipate. Maana unaweza kuwa umetulia zako, then utashangaa unapokea simu ya mtu au meseji ya kukwambia umeshinda Biko,..

Au meseji ya Mganga wa kienyeji / Freemasons
 
Sijui. Hata matapeli huwa sielewi namba yangu huwa wanaipate. Maana unaweza kuwa umetulia zako, then ukashangaa unapokea simu ya mtu au meseji ya kukwambia umeshinda Biko,..

Au meseji ya Mganga wa kienyeji / Freemasons
Pengine kuna pahala alipatiwa haja ya moyo wake
 
Mtoa mada pamoja na wote wanaotoa ushuhuda wa kutongozwa na wanawake inaonekana sio watu wa mademu yani inawatokea mara kwa mara afu inaangukia kwa watu ambao hawapendi kabsa mademu, hahahaha this is JF....waje wengine watoe ushuhuda wa tofauti, nategemea aje mtu aseme bahati ilimwangukia afu akawanyoosha kwelii kweli, inakuaje wote wanaoangukiwa na hii bahati sio watu wa totoz?! Coincidence or?![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Nasikia siri ipo kwenye TESTOSTERONE

Note: Umakini unahitajika sana , ukiona mwanamke anakuangalia machoni kwà wazi afu huko chini akawa anakuangalia kwà siri ( kwà kuibiaibia )
View attachment 2618854
 
Back
Top Bottom