Hii imekaaje? Wanawake kutongoza Wanaume

Kwema wadau?

Sasa hivi kumezuka tabia ya wanawake kutongoza Wanaume.

Yani mwanamke akimpenda Mwanaume, anafunguka wazi bila woga kabisa,...Hii imekaaje wadau.

Nimei experience hii hali zaidi ya mara nne tangu January,... ( Kwangu naona ni kama maajabu sana,....au nina tatizo labda? )

Note: Mimi sio mzinzi,...I mean, siendeshwi na tamaa za Mwili, ; Ninazo nguvu za kuucontrol mwili wangu jinsi ninavyotaka , sio wenyewe unicontrol Mimi. ( Naona ni kama nawaumiza hawa watu kwà kutojali kabisa hisia / maneno yao )
Hiyo kawaida mbususu now zimejaa kila Kona Koo wanatafuta pa kuhemea
 
Kwema wadau?

Sasa hivi kumezuka tabia ya wanawake kutongoza Wanaume.

Yani mwanamke akimpenda Mwanaume, anafunguka wazi bila woga kabisa,...Hii imekaaje wadau.

Nimei experience hii hali zaidi ya mara nne tangu January,... ( Kwangu naona ni kama maajabu sana,....au nina tatizo labda? )

Note: Mimi sio mzinzi,...I mean, siendeshwi na tamaa za Mwili, ; Ninazo nguvu za kuucontrol mwili wangu jinsi ninavyotaka , sio wenyewe unicontrol Mimi. ( Naona ni kama nawaumiza hawa watu kwà kutojali kabisa hisia / maneno yao )
Bora anaweka wazi kuliko anayejiuza
 
Back
Top Bottom