Mr Sir1
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 1,787
- 8,123
ukichunguza si wewe wanaekutongoza bali kile wanachohisi unaweza kuwapa baada ya kukubalia.Hatari sana! Meaning...usipokua makini..unaweza jikuta unatembea na kila mwanamke anayekutongoza.
Imekaa kimslahi zaidi. Kama ilivyo wanaume tunatongoza mademu tuwalale wao wanatutongoza ili tuwahadumie.
Hivyo kwa wepesi unaweza iita ni "Business Proposal". They give you punani and in turn you pay for her upkeep.