Hii imekaaje wakuu?

Hii imekaaje wakuu?

Kuna siku nikiwa kwenye mishe zangu maeneo ya Ilala MTAA wa Arusha nilisikia sauti za watoto wakiiniita kando ya Barabara walikuwa kwenye UBA imepaki, walikuwa watoto wa kihindi, (Maisha safi) kamoja kakanionesha noti ya Tsh 10,000 kaka niambia njoo uchukue kaka, nikatabasamu nikamwambia Ahsante lakini sikuifwata... Je nilikuwa sahihi? Maana Kuna mtu ameniambia hiyo ni ishara nzuri wewe hukuelewa Lugha ya kiroho🤔

Hebu naombeni maoni yenu na ufafanuzi
Una bahati sana hukuchukua ile noti manake usingekuwa na fursa hii ya kushuhudia hapa leo.
 
Una bahati sana hukuchukua ile noti manake usingekuwa na fursa hii ya kushuhudia hapa leo.
Angekufa!!?

Mfano ukiambiwa utoe kilo Tano!!upewe kifaa uweke Kwa chumba kila wiki uwe unachukua million yaani Ile kilo Tano yako owe Ina ji double Kila wiki ungekubali!!?

Kumbuka hiyo kilo tano no jasho lako!

Hapo vipi!!?

Jamaa angechukua bila uoga kwanini uogope usichokijua!!?

Wewe ungechukua tu!!hata kama we ni millionea!!
 
Nafikiri una muonekano unohitaji msaada,either ulikuwa umevaa mavazi duni au umechoka na njaa....
My take:
Hakikisha unavaa smart kila mara siku hizi kuna nguo hadi za buku nyoosha vizuri vaa,kuvaa hovyohovyo kuna siku utaitiwa mwizi utakosa wa kukutea
Hakikisha unapaka mafuta na kuchana nywele pia.
Jitahidi kula,kama huna hela songs kaugali chap hata kama ni asubuhi kula utashinda na nuru huko kwenye misheard zako na kuepukana na viaibu vidogovidogo vya kuitwa na viponjolo vidogo vikikuoneshea 10.
 
Back
Top Bottom